Studio ya Music.

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,012
Habari zenu wakuu,
Naamini hapa niko jukwaa sahihi la wataalamu wa mambo ya teknolojia tena ya kisasa kabisa.

Naomba kufahamishwa ni vifaa gani(Vya kisasa kwelikweli) muhimu kwa kuanzisha studio ya kurekodia Audio music?

Ingekua jambo la hekima zaidi kama anayefahamu angenipa na rough estimate ya bei zake kwa hapa bongo na hata vinakopatkana.

Ni matarajio yangu ni nitapata info za kueleweka kutoka kwa wajuzi katika jukwaa hili.
Ahsanteni sana.
 
Last edited:
Back
Top Bottom