Bill of Quantity
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 1,233
- 405
Habari za usiku huu wakuu?
Naomba ushauri, nataka niwatengenezee wajukuu zangu wawili bomba la maji kwa ajili ya kuwa wanaogea, yani maji yatokee juu kama mabomba haya ya kisasa.
Hapa nina madumu matupu manne, ndoo na pembeni hapa kwangu kuna mti ambao naweza kuninginiza ili maji yatoke kirahisi.
Wajukuu zangu nataka waoge kwa namna nyingine kidogo.
Naombeni jinsi ya kutengeneza mifumo mpaka maji yatoke kwa reasonable speed,niunganisheje vifaa, pia nahitaji vifaa gani.
Karibuni.
Tafadhali ni-mention unapotoa nasaha zako.