Msaada: PC yangu ina-stack wakati wa kuwaka

CTX

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
1,273
985
PC yangu kila nikiiwasha inapofikia sehemu ya starting window inastack hapo/ ina-freeze muda mrefu sana na Mara nyingine inaniletea startup repair.
Sasa sijui shida nini kwa anayefahamu anifahamishe.
 
Back
Top Bottom