Simu ya Microsoft Lumia 640 XL LTE DUAL Sim nitaipata duka gan Dar.?

Al-shabaab

JF-Expert Member
Aug 24, 2013
1,791
619
Wanatech nauliza duka la kuipata simu tajwa hapo juu kwa hapa Dar kwa reasonable price budget yangu ni Tshs 300,000.
 
ungenitajia bei yake halisi ungekua umenisaidia sana kuliko kuishia kunitishia tu
Hutishiwi ila kwa bajeti yako hupati hiyo simu dukani, ndio ukweli sio vitisho. Kama unauliza bei, jiandae na laki 5
 
Laki 3 labda upate Lumia 535 tena hapo Tigo Shop pale Uchumi maana nayo itakuwa 320,000/=. Hiyo labda kuanzia laki 5,5.5 hadi 6
 
Back
Top Bottom