Naomba msaada app nzuri ya kudowload nyimbo with samsung s5

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,378
Reaction score
19,270
wadau naombeni msaada wa app inayoweza kudowload nyimbo mchanganyiko kuanzia hizi za bongo.naija fleva na za mbele

natumia s5 samsung yenye android
 
kila mtu yupo siasani please wadau msaada
 
wadau naombeni msaada wa app inayoweza kudowload nyimbo mchanganyiko kuanzia hizi za bongo.naija fleva na za mbele

natumia s5 samsung yenye android

Mkuu hebu fafanua kidogo nyimbo ktk mfumo gani video au mp3.
Jaribu App kama mziiki,hussbaby, pia waweza dawnload tube mate ambayo itakuwezesha kudawnload mp3 and video kutoka site kama youtube nk.
Au web kama hulkshare,waptrick, mkito nk...
 
nataka audio........yaani nataka app ambayo napaata nyimbo mchanganyimo
 
Ingia playstore kama umeiacha kwenye simu yako,
then download application inaitwa Copyleft music MP3 au download HAPA kama ume allow installation ya third party apps

utaeza download nyimbo za aina zote hata za hawa wabongo.

Regard Cysthe
 
Last edited by a moderator:

shukurani my dear
 
Last edited by a moderator:
Google.com is the best..... Ukitaka app utasumbuka. Cha kukushauri download shazam au musixmatch. Wakati unasikia nyimbo inaimba kuna option ya kuisilizisha simu yako hiyo nyimbo kupitia apps izo chagua moja wapo (i prefer musixmatch coz ina feature nyingine nzuri) then ita kupa details... Ukishajua details paap ingia google.... We search. Then download.... Easy. Sana. Kama unapenda za bongo we ingia djmwanga.com jamaa anaeka latest tracks. (Ila utakumbana na self shout out.. zake ktk artworks za nyimbo) kama unaona kufanya hayo yote ni tabu we tulia tu.
Hiyo ndo options zinazozitumiaga. Also kuna alternative kama una pesa unataka za bongo....with no ads ingia mkito.com au download za free then trim it...(ila hii itakuwa njia ndefu kwako coz unapenda vitu simple)

Vilevile ninatumia OGyoutube hii ni youtube app kama ya playstore (ila haipo playstore) ina feature ya ku download all formats. Unavyopenda wewe aidha mp3,mp4,hd,3gp so kama kuna nyimbo umeiona youtube hapo hapo unaidownload kwa format unayoitaka.

Samahani kwa maelezo marefu ila almost hizo ndo njia ninazozitumia binafsi.
 
wadau naombeni msaada wa app inayoweza kudowload nyimbo mchanganyiko kuanzia hizi za bongo.naija fleva na za mbele

natumia s5 samsung yenye android

Nyimbo za naija ingia tooxclusive n notjustok kila nyimbo utaipata za naija
 
wadau naombeni msaada wa app inayoweza kudowload nyimbo mchanganyiko kuanzia hizi za bongo.naija fleva na za mbele

natumia s5 samsung yenye android

Play store application zao zina patikana pia tooxclusive n notjustok nyimbo zote za naija unazipata
 
Google.com is the best..... Ukitaka app utasumbuka. Cha kukushauri download shazam au musixmatch. Wakati unasikia nyimbo inaimba kuna option ya kuisilizisha simu yako hiyo nyimbo kupitia apps izo chagua moja wapo (i prefer musixmatch coz ina feature nyingine nzuri) then ita kupa details... Ukishajua details paap ingia google.... We search. Then download.... Easy. Sana. Kama unapenda za bongo we ingia djmwanga.com jamaa anaeka latest tracks. (Ila utakumbana na self shout out.. zake ktk artworks za nyimbo) kama unaona kufanya hayo yote ni tabu we tulia tu.
Hiyo ndo options zinazozitumiaga. Also kuna alternative kama una pesa unataka za bongo....with no ads ingia mkito.com au download za free then trim it...(ila hii itakuwa njia ndefu kwako coz unapenda vitu simple)

Vilevile ninatumia OGyoutube hii ni youtube app kama ya playstore (ila haipo playstore) ina feature ya ku download all formats. Unavyopenda wewe aidha mp3,mp4,hd,3gp so kama kuna nyimbo umeiona youtube hapo hapo unaidownload kwa format unayoitaka.

Samahani kwa maelezo marefu ila almost hizo ndo njia ninazozitumia binafsi.
usijali nashukuru sana mkuu
 
nenda mobeginie...download app inayoitwa VIDMATE...hy inadownload uchafu wote hd video za fb na instagram
 
Back
Top Bottom