Star TV Siioni Tena Kwenye Amos 2,3. Msaada Tafadhali!

1954tanu

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,038
487
Natumia QSat 15 G nilikuwa napa na kuona vituo kadha vya TV hapa Tz kupitia Satellite ya Amos 2,3 lakini ghafla ina niambia No Service. Shida ni nini? Je! Wamehama tena?

Chonde chonde.Nisaidieni wataalamu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom