Ashura9
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 740
- 485
Binadamu anajifanya mjanja na kumbe si mjanja kabisa. Watu wengi ni wazembe sana inapokuja kutumia password mtandaoni na sehemu mbalimbali. Utakuta mtu anarudia password yake ileile au hata kutumia jina maaarufu linalojulikana. Hapa chini ni orodha na password common sana ambazo zimetumika sana na watu mitandaoni kwa mwaka huu uliopita wa 2015. SplashData ni kampuni inayoshunghulika na password zilizoibwa na kuzichanganua aina yake, katika hii list utagundua kuwa password zote zilizoibwa ni nyepesinyepesi, huu ni wito kwako wewe kujifunza kutengezeka password kali. Orodha imepangwa kwa most popular to least popular:
1. 123456 (Unchanged)
2. password (Unchanged)
3. 12345678 (Up 1)
4. qwerty (Up 1)
5. 12345 (Down 2)
6. 123456789 (Unchanged)
7. football (Up 3)
8. 1234 (Down 1)
9. 1234567 (Up 2)
10. baseball (Down 2)
11. welcome (New)
12. 1234567890 (New)
13. abc123 (Up 1)
14. 111111 (Up 1)
15. 1qaz2wsx (New)
16. dragon (Down 7)
17. master (Up 2)
18. monkey (Down 6)
19. letmein (Down 6)
20. login (New)
21. princess (New)
22. qwertyuiop (New)
23. solo (New)
24. passw0rd (New)
25. starwars (New)
Source: Splashdata
1. 123456 (Unchanged)
2. password (Unchanged)
3. 12345678 (Up 1)
4. qwerty (Up 1)
5. 12345 (Down 2)
6. 123456789 (Unchanged)
7. football (Up 3)
8. 1234 (Down 1)
9. 1234567 (Up 2)
10. baseball (Down 2)
11. welcome (New)
12. 1234567890 (New)
13. abc123 (Up 1)
14. 111111 (Up 1)
15. 1qaz2wsx (New)
16. dragon (Down 7)
17. master (Up 2)
18. monkey (Down 6)
19. letmein (Down 6)
20. login (New)
21. princess (New)
22. qwertyuiop (New)
23. solo (New)
24. passw0rd (New)
25. starwars (New)
Source: Splashdata