procedure ni hiyo hiyoAsante sana Secret Service.....ngoja nijaribu ila hii ni laini moja.
Asante mkuu nimefanikiwa..
JF hoyeeeeee.....au sio hoyeeeeee.......?
Rekebisha kauli, hakuna mtandao wa simu Tanzania wenye customer cares.
Settings>>Wireless and networks >>mobile networks, kwakua cm yako ni line mbili, chagua SIM card settings, Select Tigo Tanzania>>Hafu go to Access point names. Select on left soft key
( menu ) and select new APN. Edit Name : Tigo Tanzania.>> APN: Internet . Leave rest all
fields empty. Select on left soft key ( menu )
and save the settings. Then go again to access
point names and enable Tigo Tanzania APN.
Ushamaliza kaka.
Mkuu nisaidie kwa Galaxy s2 mtandao ni voda
wakuu, nami kwa heshima na taadhima naja kwenu nikiomba msaada jinsi ya kuwezesha simu yangu iweze kupata internet.Natumia mtandao wa airtel na simu ni Samsung GT-S5253.nitashukuru sana kwa msaada wenu.Heshima yenu wakuu. Naomba msaada jinsi ya kuwezesha simu yangu iwe na uwezo wa kupata internet. Natumia mtandao wa tigo na simu ni aina ya Samsung GT-S7500.......Nimejaribu kupiga customer care lakini hawapokei.
Msaada wenu wataalamu:
Natumia Samsung GT-B3410 ila nashindwa kuifungu internet kila nikiijaribu inaandika "connection failed".
MSAADA WENU TAFADHARI.!
wakuu, nami kwa heshima na taadhima naja kwenu nikiomba msaada jinsi ya kuwezesha simu yangu iweze kupata internet.Natumia mtandao wa airtel na simu ni Samsung GT-S5253.nitashukuru sana kwa msaada wenu.
Sema hujasema km pale juu alama ya E au 3G inaonekana au lah. Kama inaonekana ni tatizo la location tu. Kama haionekani, fuata process tulizojibu hapo juu.
Alama E inaonekana vizuri lakini internet haisomeki.
Halafu application za hapo juu ni tofauti kabisa na zilizopo kwenye hii simu yangu.
Nifanyeje mkuu!