Watumiaji wa continental decorders

Watumiaji wa continental decorders

ymollel

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
3,095
Reaction score
2,294
Kwa sasa kuna matatizo kwenye hizi decorders, lakini unaweza kupata almost chanel 22 .

Nenda CHANNEL MANAGER--> NIT SEARCH weka frequency ya 482K

Then search.

Chanell zinazopatikana;
Chanel zote za sahara media
Citizen
Ktn
K24
Local channels (Itv,tbc1,channel10,clouds,eatv,capital)
Ntv
 

Attachments

  • 1449936419073.jpg
    1449936419073.jpg
    62 KB · Views: 263
Continental decoder kwa sasa wanapatikana katika satellite ya ABS iliyoko nyuzi 3 magharibi ya Greenwich katika frequency 11150 Symbol rate 45000 V kama umelaza LNBF yako.
 
Kwa wale watumiaji wa Qsat, strong and the like vipi, matangazo yapo hewani? Naona Servie Not Available wiki nzima sasa.
QUOTE="Chevchsic, post: 14891371, member: 17533"]Chini kidogo ya uelekeo wa Zuku @ 50 elevation[/QUOTE]
 
Kwa sasa hazipatikani kwa free to air decoder mpaka use na decoder yao continental wenyewe but bado zinasumbua pia ni full scratch
 
Back
Top Bottom