wamisako
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 917
- 871
Sikuiz kuna ATM kadi tofaut tofaut kuna ATM kadi zimeandikwa, MASTER CARD, VISA na zingne zipo normal hizana hayo majina mfano CRDB now wana master card na visa. NMB nao saiv wana master card pamoja nazile za kawaida. Tofaut ya ATM CARD hizi tatu ni nini katika matumizi ukiondoa utofauti wa majina yake?