Pakua (Download) Addblock Plus HAPA.Wakuu natumia hTc rezound(verizon)
Siku za hivi karibuni imegeuka kero ina adds za kutosha kila dk mbili linatokea tangazo halafu ni unstoppable,nifanyaje ili niweze kuisafisha simu irudi kama zamani,maana imekuwa kero,wajuzi mnisaidie cha kufanya.