mzalendo-wa-tz
JF-Expert Member
- Dec 15, 2014
- 404
- 187
Wakuu, asanteni kwa msaada wenu katika teknolojia.
Nimekwama sehemu na nikaona hapa naweza pata msaada wa haraka.
Ninahitaji kuanza kujifunza kutengeneza magazine, na nimefuatilia kwenye mtandao inanibidi kupata software za kutengenezea hiyo magazine. Je, kuna yeyote anaweza nisaidia jinsi ya kuzipata hizo software na je ni software ipi ni bora zaidi na rafiki kwa muanzaji (friendly to beginners)