Habari wakuu nina laptop yangu TOSHIBA ilikua na window 10, sasa nikaona ni nzito sana nikaamua kuweka window 7 sasa baada ya kuweka Ports zote hazisomi flash wala external HDD nashindwa kuupdate...
Jamani Masada jf members Nina laptop HP lakini inatatizo nikiweka CD zile za muvi zile zinazouzwa zinakataa kusoma lakini baadhi zinasoma zikifika katikati zinagoma nyingine hazisomi kabisa...
Habari wanajamvi.
Naombeni msaada kuwa simu yangu ya H5 imekataa ku download picha na video ya WhatsApp. Ina download mpaka mwisho then inaanza mwanzo tena. Zingine ukizirudia ku download...
Kama wahitaji kuongeza likes kwenye post zako za instagram wasiliana nami nikuongezee likes kuanzia 500 hadi 5000 kwa bei rahis kabisaa... Pia natoa huduma ya kuongeza followers kwenye akaunt za...
Habari wana jf. Simu yangu nikiwasha internet zinakuja apps nyingi zikinitaka kuaccept. Zinakera mpaka sioni raha ya internet. Naomba msaada nifanyeje hizo apps zisije automatic nikiwasha internet.
Habar zenu waungwana..
Nahitaji kununua flat screen yenye internal receiver, yaan ambayo naweza kuitumia kupata channel za bure bila kutumia king'amuzi ,
Nawaomben ushauri aina ipi itakuwa...
Hey,
I just downloaded WhatsApp Messenger on my Android.
It is a smartphone messenger which replaces SMS. This app even lets me send pictures, video and other multimedia!
WhatsApp Messenger is...
habarin ndug zangu..tatizo nlilonalo ni kwamba simu yangu imeanza tabia ya kutosoma slot 2..tangu niweke laini yangu ya voda kwenye slot 2..basi nikjaribu kutoa ili niweke laini nyingne upande huo...
Habari wana bodi....
Ninahitaji ku configure Gmail in outlook..
Nimeshajaribu mara kadhaa na kuingiza settings zote but still inakataa.
Mwenye ujuzi zaidi wa hiki kitu naomba anisaidie...
Kama title isemavyo nimeamua kugawa akaunti yangu ya instagram yenye followers 10k na following 2k kwa bei chee....ukiitaka njoo pm au whatsapp kwa namba hii 0673-659759
Wanajamvi naomba kupewa msaada juu ya kununua applications online kupitia simu yangu ya Lumia 1520. Je kuna hatua gani za kufanya kabla ya kununua. Tayari ninayo Visa card ya barclays ambayo...
Habari wakuu mimi ni moja ya wale watu waliojiunga na mtandao wa halotel hivi karibun ili kujionea utofauti na mitandao mingine lakin hawa jamaa wa halotel siwaelewi kwanini kila nikijaribu...
Habari ya asubuhi wana jamvi.
Natumia SONY XPERIA S LT26i. Mara nyingi huwa natumia VodaCom.
Simu yangu inachemka sana nikibadili line (nikiweka Airtel) na inamaliza chaji ukilinganisha na...
Salam wakuu wa JF ninahitaji kuwa na website yangu tayari nimeshafanya host na domain yangu hii hapawww.binruwehy.com lakini siwezi kuiunganisha na wordpress msaada please
Wakuu hii ni aina ya satellite inayotumika katika Communication process kama Televisions kwann Sat hii iko fixed nashindwa ku imagine kuwa inatembea same speed na earth kiaje observer aione...