PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
Habari wakuu mimi ni moja ya wale watu waliojiunga na mtandao wa halotel hivi karibun ili kujionea utofauti na mitandao mingine lakin hawa jamaa wa halotel siwaelewi kwanini kila nikijaribu kudownload mafile kama movie zinazoanzia ukubwa wa 150mb wananipunguzia download speed.. Hii ni mara ya pili kila nikianza kudownload file utakuta navoanza kudownload download speed inakuwa juu(320kb/s) lakin ikifikia katikati inakuta download speed inapungua hadi 16kb/s..sielew tatizo nini
NB.Natumia line ya mwanachuo na huwa najiunga na kile kifurush cha wiki cha mb 500
NB.Natumia line ya mwanachuo na huwa najiunga na kile kifurush cha wiki cha mb 500