Bei ya sony experia x10

Yumbayumba

JF-Expert Member
May 31, 2012
1,239
827
Wakuu nauliza bei ya sony experia x10 sh ngap? Nataka kununua kama kuna mtu anajua anisaidie
 
mimi nmeshaitumia hyo cm kitambo hicho, inaitwa Sony experia x10i kwa sasà gharama yake haiwezi kuzidi 150k
 
mimi nmeshaitumia hyo cm kitambo hicho, inaitwa Sony experia x10i kwa sasà gharama yake haiwezi kuzidi 150k
Nataka sony ericsson nzuri ila iwe ya bei ya kawaida tu, ni ipi?
 
why unataka simu ya zamani hivyo? kwa standard ya sasa kila kitu kitakuwa slow
17efbd8612858c1eba8aa5423353b980.jpg
si ndio hii au?
 
d913a5a432d54a848b6cade551945dfe.jpg
hii ni yakizamani mkuu?

Hii simu kwa mara ya kwanza nmeicheki mwaka 2012 january, so nadhan kuna vitu vingi sana vya kiteknologia visha hapen hapa miaka ya kati na ndo maana mkuu chief mkwawa anaichukulia kama ya zamani...
 
Wakuu nauliza bei ya sony experia x10 sh ngap? Nataka kununua kama kuna mtu anajua anisaidie
Simu ya zaman sana...kipind kile ukiwa na laki mbili tu unaipata...achana nayo tafuta nyingine simu zipo nyingi sana
 
Ukipata 350 unapata lg g2 kuna jamaa naona wanaziuzaga kwa bei hiyo kule kupatana...simu moja kari sana.

Pia kuna samsung s3 itakufaa.

Note: usije kununua tecno tu
Tatizo kuna mtu ananisumbua nimnunulie hiyo sony, mm natumia samsung hao tecno sitaki hata kuwasikia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom