Msaada apps kuja direct kwenye screen ya simu internet ikiwa on

DIKE

JF-Expert Member
Feb 11, 2013
370
156
Habari wana jf. Simu yangu nikiwasha internet zinakuja apps nyingi zikinitaka kuaccept. Zinakera mpaka sioni raha ya internet. Naomba msaada nifanyeje hizo apps zisije automatic nikiwasha internet.
 
Habari wana jf. Simu yangu nikiwasha internet zinakuja apps nyingi zikinitaka kuaccept. Zinakera mpaka sioni raha ya internet. Naomba msaada nifanyeje hizo apps zisije automatic nikiwasha internet.
Japo mdau hapo juu amekushauri lkn mm bado sijakuelewa mkuu.
 
kwanza unatumia simu gan? km n tecno hyo matatizo huwa yanajitokeza sana. Mimi binafs ilinibd niflash cmu yangu tatizo likaisha ila likarud tena...
 
1. Hakikisha settings , security , devise administrators, install from unknown sources is off ( Usiweke tiki)
2. Install kespersky antiviurs then scan simu
3.Antiviurus itaua virus lakini wengine wanaweza kugoma kwa sababu wamingia kama main app.
4. Ikiwa hivyo install system app unistaller halafu select hizo apps zilizogoma. Unistall ... voila.
Btw ulisha root simu yako? Jaribu ukishindwa niambie.
 
Back
Top Bottom