Jamani Masada jf members Nina laptop HP lakini inatatizo nikiweka CD zile za muvi zile zinazouzwa zinakataa kusoma lakini baadhi zinasoma zikifika katikati zinagoma nyingine hazisomi kabisa sijui tatizo nn Masada jamani nitashukuru sana.
c mtaalamu sana wa hvy vitu ila kuna program ipo ya kukuwezesha laptop yako kusoma DVD.. ushaur wangu mtafute mtaalam wa computer hasa hawa wenye internet cafe.. wana hz program
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.