Mosiwakaya
Senior Member
- Jul 22, 2014
- 185
- 35
Habar zenu waungwana..
Nahitaji kununua flat screen yenye internal receiver, yaan ambayo naweza kuitumia kupata channel za bure bila kutumia king'amuzi ,
Nawaomben ushauri aina ipi itakuwa nzuri zaid na imara..