Msaada how to configure Gmail in outlook.. Please help

Fuata hizi hatua,
-Fungua Outlook
-Nenda kwenye tools
-Ingia Account Seting
-Halaf Bofya kitufe cha New
-Ukibofya New itakuja window utabofya Next
-Halaf jina unalotaka kutumia kwa hiyo email adress- Ingiza hiyo email yako ya Gmail-Weka password unazotumiaga kwa hiyo email na ziweke tena mara ya pili.
-Baada ya hapo Subir iconect na Sever itachukua mda kidogo baada ya hapo itakuwa tayari.
-Done.
 
Ina maana siingizi settings zozote za imap au pop3?
 
Hapana kwa auto itafanya yenyewe ila kwa manual ndo unaweka hizo imap au Pop3 fuata hiyo njia halaf urudishe majibu
 
Back
Top Bottom