Khalid Humud
Member
- Feb 3, 2016
- 18
- 3
Salam wakuu wa JF ninahitaji kuwa na website yangu tayari nimeshafanya host na domain yangu hii hapawww.binruwehy.com lakini siwezi kuiunganisha na wordpress msaada please
kwa hiyo hakuna haja ya kuwa na akaunti ya wordpreshautumii panel ya wordpress kueka domain kama umehost bali unatakiwa ulogin kwenye panel ya host wako ili kuipark.
utatakiwa uwe na name server za host wake then ukazieke mahala ulipotengeneza domain kwanza.
1. chukua name server za host zimap kwenye domain zinakuwa kama hivi
ns1.yourhost.com
ns2.yourhost.com
mara nyingi mbili tu zinatosha na inaweza chukua muda kidogo kukamilika
2. rudi kwenye host yako then login then nenda sehemy ya domain then add hio domain
baadhi ya host wanaweza wakaipa account mpya hio domain hivyo utahitaji fanya backup toka site ya zamani kuja mpya
shukrani nimepata muangaza email niliyotumiwa imesema hadi masaa 48kwa hiyo hakuna haja ya kuwa na akaunti ya wordpres
kwa hiyo hakuna haja ya kuwa na akaunti ya wordpres
shukrani kwa ushirikiano wako nimefanikiwa mkuu www.binruwehy.comswali tata.
wordpress.com au huko ulipohost?
kama umehost sehemu ni lazima uwe na acount yako ya kulogin.