sijajua kwa iyo nokia lumia coz cjawahi itumia na ninadhani inatumia microsoft na sio android.ila steps ziko hivi ninatumia android samsung.ingia playstore itafute hiyo program kisha utainunua utaingiza namba za kadi na cvv zile za nyuma,expire date na majina kadiri watakavyokuuliza kisha unaconfirm then utapata program.
--mimi pia ninatumia barclays the fastest and efficient bank na nimenunua programs nyingi kwa playstore.
pia unaweza kuilink kadi yako kwenye playstore ili unapotaka kyfanta manunuzi inaappear automatically.
pia nakushauri utumie paypal ndo salama zaidi.hawa wengine inabidi uwe makini na usome purchase policy zao.wanaweza kuzitumua hizo detail kuload pesa.
ila ushauri uliobora zaidi uwe na akaunti 2.1 yakuhifadhi pesa zako tu.na nyingine kwa ajili ya online&electronic transactions.
mfano mimi nina akaunti 2 barclays.1 ya current tzs.na nyingine savings tzs.ya savings tzs ndo naitumia kufanya online&electronic transactions,ninaiwekea pesa kidogo ila ninapotaka kufanya malipo nahamisha kutoka current ac.tzs kwenda savings tzs kwa mobile banking/internet banking.