Spark Gap
Member
- Jan 4, 2016
- 62
- 20
Wakuu hii ni aina ya satellite inayotumika katika Communication process kama Televisions kwann Sat hii iko fixed nashindwa ku imagine kuwa inatembea same speed na earth kiaje observer aione inaonekana fixed wakati iko kwenye mwendo? Je nini kina ipa Sat yoyote speed baada ya kukaa kwenye orbit kuna engine ndo inatoa power au ni nini?