mfate42
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 3,992
- 4,731
habarin ndug zangu..tatizo nlilonalo ni kwamba simu yangu imeanza tabia ya kutosoma slot 2..tangu niweke laini yangu ya voda kwenye slot 2..basi nikjaribu kutoa ili niweke laini nyingne upande huo wa slot 2 bas simu huniambia slot2 no sim card detected...basi nikajua labda slot 2 inasoma voda peke yake nikajaribu kuchuku lain nyingine ili niweke bado mambo ni yale yale..no sim card detected..ila nikiiridusha voda nnayoitumiaga inasoma kawaida...tena fasta...nikajaribu kuflash..na kubadilisha fail la simu..ila bado tatizo liko palepale..sasa nashindwa kuelewa tatizo ni nini..mana voda yang inasoma vizur slot 2 ila voda nyingine au laini nyingine yoyote ile haisomi...nisaidieni jamani..mana simu nashindwa hata kumuachia mtu mana hatoifaid mana itasoma slot 1 tu....simu yenyewe n techno h5...