Tafadhali saidia kwenye hili

Hilo huweza kusababishwa na
1. Kutoa sd card mara kwa mara kama wimbo ulio set upo kwenye sd card.
2. Kama unachomeka simu yako kwenye tv or pc kwakutumia usb cable.
3.Kuhamisha nyimbo husika kutoka folda moja kwenda lingine ikiwa tayari ulisha set huo wimbo kuwa ringtone.
4.Kubadili profile kutoka general kwendi silent mara kwa mara so ukirudisha tena ktk general hilo tatizo lazima lijitokeze.
5. Kama sd card inashida ya ku soma na kupotea ktk simu endapo wimbo upo kwenye sd card.
Wengine wataeleza kiundani zaidi.
Ushauri kama umeset wimbo fulan kuwa ringtone hamisha kwanza huo wimbo uende kwenye internal storege then ndio uset as ringtone
 
Back
Top Bottom