Simu yangu ya H5 haidownload.

Felix Aweda

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
507
145
Habari wanajamvi.
Naombeni msaada kuwa simu yangu ya H5 imekataa ku download picha na video ya WhatsApp. Ina download mpaka mwisho then inaanza mwanzo tena. Zingine ukizirudia ku download inakubali ila haiplay inaandika bad format. Naombeni msaada wenu.
 
nenda kwenye application,goolge play halafu click unistalling halafu kadownload tena ikigoma niambie
 
huenda ni setting za wap

nenda setting then more network then mobile network then acess point name then angalia setting zako ni wap au internet au web
 
Nim
sasa tecno zina ttz moja la kuathirka na virus sn ebu nenda kajarbu kuiformat
Nimeformat imefuta kila kitu kilichowekwa baada ya kununua na nikaanza moja kudowload upya kila kitu na bado Inatatozo. Nikaweka WhatsApp ya nje ya play store bado inasumbua. Naweza kupiga picha au nadownload kitu but baada ya mda inaandika bad format na haifunguki tena. Hata video inakaa mda zingine hukataa kufungua tena.
 
nenda kwenye application,goolge play halafu click unistalling halafu kadownload tena ikigoma niambie
Nilifanya hivyo na pia natumia WhatsApp ya opera haitaki. Hata Facebook inakataa. Bluetooth pia nikituma chochote haitaki. Data iko poa.
 
huenda ni setting za wap

nenda setting then more network then mobile network then acess point name then angalia setting zako ni wap au internet au web
Internet. Net iko poa. Naperuz mambo mengi ila. Picha,videos,screenshot, na audios zinagoma kusoma.
 
Internet. Net iko poa. Naperuz mambo mengi ila. Picha,videos,screenshot, na audios zinagoma kusoma.

hilo ndio tatizo la setting za wap fanya nilivyokuambia.

setting za wap ni kwa ajili ya simu za zamani hazifanyi kazi vizuri kwenye smartphone sababu zinakuwa na proxy
 
Sam
hilo ndio tatizo la setting za wap fanya nilivyokuambia.

setting za wap ni kwa ajili ya simu za zamani hazifanyi kazi vizuri kwenye smartphone sababu zinakuwa na proxy
Samahani mkuu. Nilimaanisha kuwa setting ni Internet. Kama kuna haja ya kubadili niambie.
 
Jamn nahitaji fundi cm aliebobea kwenye maswala ya softwere na cm huawei g.610 imewashinda mafund wengi so nahitaji msaada wa haraka vilevile nina cm HTC inahitajika boots file mwenye uwezo tuchekiane kwa dsm namba Yang 0714 591693
 
Nilifanya hivyo na pia natumia WhatsApp ya opera haitaki. Hata Facebook inakataa. Bluetooth pia nikituma chochote haitaki. Data iko poa.
nenda kwenye google play andika gogole play ,itakuletea option nyingi chagua update option ya update google play halafu bonyeza ikikataa unicheki,download upyawhatsapp
 
nenda kwenye google play andika gogole play ,itakuletea option nyingi chagua update option ya update google play halafu bonyeza ikikataa unicheki,download upyawhatsapp
Mkuu nashukuru kwa ushauri wako. Nilifanikiwa kupata update ya Google play nika download. then nikafuta WhatsApp na vingine kwa njiia ya Reset data factory. Then nilidownlod upya WhatsApp ikawa inafanya kazi vizuri. Nikushukuru tena na wadau wengine ambao walitumia mda wao kusoma post Yangu na kutoa mchango wao wa mawazo kwa minajili ya kunisaidia. Stay blessed all of you.
 
Back
Top Bottom