DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 268
Habari wakuu nina laptop yangu TOSHIBA ilikua na window 10, sasa nikaona ni nzito sana nikaamua kuweka window 7 sasa baada ya kuweka Ports zote hazisomi flash wala external HDD nashindwa kuupdate drive kwani hata wireless driver hazijaingia na kutumia modem port hazisomi, awali ilipokua na window 10 ilikua ports zote zinasoma. Now imekua tatizo MSAADA PLEASE