Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Natumia Application ya JF kwenye Samsung Galaxy J7. Lakini Nikiingia Kwenye Timeline.. subscribed.. na Participated Thread za Hizo Sections Haziload na Zinachukua Muda Sana. Ila Nikiingia Kwenye...
0 Reactions
2 Replies
809 Views
Habarini Kuna simu nililikuwa natumia katika bonyeza bonyeza sikujua wapi nimefika lakini niliona tuu kuwa picha zangu zitakuwa zinahifadhiwa kwenye email yangu ambayo inatumika katika simu yangu...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
salamu wakuu, naomba msaada wa kuzima voise menu ktk cm ya airtel re
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Angalia live epl ndani ya azamtv tv kupitia crtv iko kwenye other channels
3 Reactions
26 Replies
12K Views
TORONTO (Reuters) - BlackBerry Ltd is cutting 200 jobs at its hometown headquarters in Ontario and in Florida in order to trim costs, it said on Friday, as the smartphone maker moves to turn...
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Habari zenu wanajamvi, naomba msaada wenu... Nina tatizo linalohusu simu....inawezekana kweli ukatumiwa msg anaekutumia kwenye simu yake inaonesha delivered lakin Mimi nlietumiwa sizipati hizo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
If you break your home button and you need to replace it, you’ll want to go to an official Apple Store or an authorized repair shop to avoid the error 53. If a third-party repair shop replaces...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya Games zimekuwa ngumu kuendelea, kwenda Stage Ingine ,,, kwa sababu ndani ya game kuna baadhi ya vitu vina hitaji ww ununue... Kama coins e.t.c Mfano: Highclimb racing...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamii habarini za mida hii. Mi naomba nipiwe elimu kidogo kuhusu hili, maana huwa sielewi inakuwaje. Hivi hizi website na blogs, mmiliki wa blog au website husika anapo post picha au habari...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana JF. Naomba msaada wenu, hivi ni app gani au njia gani kwenye simu zetu za android inaweza kulock au kujua simu ipo sehemu gani kama imeibiwa.
1 Reactions
2 Replies
857 Views
Msaada wadau simu yangu ilijilock kwa pattern sasa wakati nafungua nikakosea ikajifunga na ac ya gmail nikawa nimeisahau nikaamua kutumia app ya research download na pac file ya itel it1353 sasa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
wakuu wa jukwaa hili naombeni msaada juu ya tatizo hili kwenye computer yangu ambapo natumia hp ( window 10 ) ila kuna huu ujumbe nimekua nikiupata ukinitaka ku activate window mwenye uelewa juu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini ndugu wana Chama cha JF. kama kichwa cha Habari kinavyosema ni App ipi ya kuongeza internal memory kwa smartest phone? #Nawasilisha kwenu. Ahsanteni!!
0 Reactions
6 Replies
3K Views
natumia simu ya Samsung note 2 32gb.ila wiki sasa imepita.simu haifungui google store. hata browsers nyingine.isipokuwa opera mini.na samsung store. nimeangalia tatizo sijalipata.mwenye ufahamu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wandugu ! Naomba kujua namna ya kublock simu iliyoibiwa isiwez kutumiwa kabisa na aliyeiba au kuuziwa. Nimejaribu kuuliza mitandao yetu ya simu hawawez kufanya hicho kitu. Nimeshindwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu wana jamii naomba msaada wenu account yangu ya google imefungiwa kwa sababu ya kuingiza kwenye simu simu mbili tofauti kila nikijaribu ku sign ina nambia Account has been disabled...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale wenye ujuzi na wataalamu wa external hard drives. Nina external aina ya Transcend 1TB inanisumbua kila nikichomeka kwenye laptop kuna dialogue box inatokea naambiwa inabidi niformat...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hili jambo limekuwa limikwaza maana jana nimenunu kifurushi nikajiunga na 2GB airtel lengo ni kumalizia kudownload series flan. nimeamka asubuh nakuta imebaki 156MB na kwenye ile series zimetumika...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa yeyote anayefahamu mahali panapouzwa Arduino board, Rasberry Pi, PIC au intel 8051 series naomba ani pm au kama unakimoja wapo nipm namba yako tuongee Dili.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa alie uwa na iPhone 5 iCloud locked anitafute 0656833338 nahitaji
0 Reactions
3 Replies
983 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…