Ni kwa nini Clouds Tv, Citizen Tv huwa zinapotea hewani kwa antenna ya kawaida?

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,651
14,318
nimekuwa niki experience jambo hili kila mara hasa inapofika weekend tv hizi zimekuwa wakati mwingine hazipatikani mpaka jumatatu au wakati mwingne zinachukua muda mwingi kidogo.
antenna inakuwa haijachezeshwa inakuwa pale pale ililipo na huwa baadaye zinarudi zenyewe na kuwa kawaida ila baada ya siku kadhaa tena zinapotea. tatizo ni nini?
tafadhari kama kuna mtu ame experience tatizo kama hili au anafaham ufumbuzi tusaidiane.
 
Back
Top Bottom