Maujanja ya Mirosoft haya hapa. No2.

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
Ngoja tuendelee kuona sehemu ya pili ya maujanja kama nilivyopromic,najua itawasaidia some members humu jamvini. Tuanze sasa!!

1.NOTEPAD

Wale wapenzi wa kutumia notepad kuandika baadhi ya notes kwenye kazi zenu mpo?? Hizi unajua notepad unaweza kuifanya kama diary kwa kazi zako? Hapa itakuonyesha saa, dakika na tarehe kwa kila utapofanya kazi zako.

Kivipi? Fuatana nami hapa:
-Fungua notepad, halafu andika .LOG (hapa CAPSLOCK iwe sensitive) katika mstari wa kwanza kabisa.

-Halafu Save kwa jina lolote unalolitaka, halafu funga(close) file.
-Fungua tena hilo file kwa double-click

-Andika notes zako, zisave halafu funga. Hapo kila ukifungua hilo file utaona linadisplay muda(sasa,dakika na tarehe) kwa kila muda utakapoandika kazi zako.(Date and time come automatically)
Kushney.

  1. Microsoft Office 2007.
Haya twende kwa watumiaji wa Microsoft office 2007. Hivi unajua hii MS O ikicollapse au kwenye new installation unaweza ku-install bila kutumia crack? Ndiyo utaweza tu
Kivipi. Twende
-Install Microsoft Office 2007 kama trial version.
-Ikikubali funga(close) programs zote za office.
-Halafu fungua kwenye hili folder. C:\Program files\Common files\microsoft shared\OFFICE12\Office Setup Controller\Proof.en\
-Hapo utaona hii kitu "Proof.xml"
-Right-click hiyo kitu, halafu fungua kwa kutumia notepad.
-Hapo delete notes zote unazoziona, halafu copy and paste hizi notes hapa chini.

<?xml version="1.0" encoding="utf-8"?>
<!--_SIG=o6qjGNt0P98N1PiQH9LsdM+Qxxa1LCTungnlKXKQoI5nvd6KPOCpdGSjKqZWUT3QX4ujQaKWPsv+xPdzxq7T/m3qICTZI7PQLxERc//iRCuf3cebwwnQpV8g65Edqv0KqNPn/pTBBIx8i38l1WMw23Wpo7oOwICsJy2BF2dx2n8=-->
<Package Id="Proof.en-us" Type="MSI" Path="Proof.MSI" Version="1.0" ProductCode="{90120000-001F-0409-0000-0000000FF1CE}" MSIVersion="12.0.4518.1014" Platform="x86">
<Feature Id="FindAllWordFormsFiles_1033" Cost="500643">
<OptionRef Id="FindAllWordFormsFiles_1033"/>
</Feature>
<Feature Id="Gimme_OnDemandData" Cost="0">
<OptionRef Id="Gimme_OnDemandData"/>
</Feature>
<Feature Id="SpellingAndGrammarFiles_1033" Cost="39828097">
<OptionRef Id="SpellingAndGrammarFiles_1033"/>
</Feature>
<Feature Id="ThesaurusFiles_1033" Cost="2754660">
<OptionRef Id="ThesaurusFiles_1033"/>
</Feature>
<Feature Id="MsoInstalledPackagesScopedIntl_1033" Cost="0">
<OptionRef Id="neverInstalled"/>
</Feature>
<Feature Id="HyphenationFiles_1033" Cost="232281">
<OptionRef Id="HyphenationFiles_1033"/>
</Feature>
<Feature Id="OCR_1033" Cost="9112900">
<OptionRef Id="OCR_1033"/>
</Feature>
<Feature Id="SetupControllerFiles" Cost="1248">
<OptionRef Id="neverInstalled"/>
</Feature>
<Feature Id="SetupXmlFiles" Cost="1248">
<OptionRef Id="neverInstalled"/>
</Feature>
</Package>

Au ukipenda unaweza kurename kila kwenye "AlwaysInstalled" weka "neverInstalled".

  • Save hapo kazi imeisha.
  • Kusney
KUMBUKA: Usifanye internet update yoyote hapo.

  1. Programs sumbufu(Non-responsive programs)
Unajua unaweza kuzifunga (close) automatically programs zote zisizo respond?

Kivipi, twende pamoja:
-Window XP hata(Vista na W7 works) ukafunga hizo programs bila kutumia task manager
-Anzia hapa Start->run->andika regedit
-Halafu nenda hapa HKEY_CURRENT_USER->ControlPanel->Desktop

-Right click halafu modify hii kitu REG_SZ entry AutoEndTasks na value yake andika 1
Kushney.

  1. Unnecessary Programs.
Ujue hii inatokea kwenye computer nyingi mno, yaani kila unapowasha computer yako basi kuna programs nyingi zinafunguka hovyohovyo, bila mpangilio na kufanya system yako itumuie muda mrefu kuisubiri zijifungue hizo programs.(Inaongeza boot time tu)

Kiufupi hizo programs zinatoka katika folder la Startup au Registry
-Disable programs zote kwenye hili folder "Sttartup folder"
-Au disable programs za registry hapa: HKEY_LOCAL_MACHINE SOFTWARE Microsoft Windows CurrentVersion Run.
Kushney.

  1. Je wajua hili??
Hivi unajua kwamba huwezi kutengeneza folder lolote kwenye Computer zinazotumia window kwa jina la CON ?.(You cant rename any folder with that name, namaanisha hivyo)
Hapa sio watu wa Microsoft wala Bill Gates anaweza kuja na jibu sahihi hata kama windows wamengeneza wao.
Ukifanya hivyo litakuja jina default tu like New folder....nk.

Vilevile hata ukifanya kazi zako kwa notepad au Microsoft office ukasave kwa jina hilo CON basi huwezi kufanikiwa? Hembu jaribu sasa uone.

Incase ukifanikiwa, Je wajua kwamba hilo folder huwezi kuledelete kwa njia ya kawaida?? Hahahaaa, ngoja nicheke kwanza.(sio virus jamani).

Hembu jaribu kutengeneza folder kwa majina haya halafu uje uniambie:
-PRN

-AUX

NUL
COM1

Tuishie hapo kwa leo, kazi njema na Wiki njema

Namba 1 hii hapa..
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...a-computer-hapa-should-see-this-no-1-a-2.html

2hquurc.gif

2i9m911.gif

2u7ow7c.jpg
 
  1. Je wajua hili??
Hivi unajua kwamba huwezi kutengeneza folder lolote kwenye Computer zinazotumia window kwa jina la CON ?.(You cant rename any folder with that name, namaanisha hivyo)
Hapa sio watu wa Microsoft wala Bill Gates anaweza kuja na jibu sahihi hata kama windows wamengeneza wao.
Ukifanya hivyo litakuja jina default tu like New folder....nk.

Vilevile hata ukifanya kazi zako kwa notepad au Microsoft office ukasave kwa jina hilo CON basi huwezi kufanikiwa? Hembu jaribu sasa uone.

Incase ukifanikiwa, Je wajua kwamba hilo folder huwezi kuledelete kwa njia ya kawaida?? Hahahaaa, ngoja nicheke kwanza.(sio virus jamani).

Hembu jaribu kutengeneza folder kwa majina haya halafu uje uniambie:
-PRN

-AUX

NUL
COM1

Mkuu mbona vijana wa microsoft wameweza kutoa jibu la hili swala,yani ni kwamba maneno kama CON,AUX,NUL,LPT1,LPT2 na LPT3 yako reserved kwa ajili ya hardwares maalumu.Nanukuu:
"CON" is a reserved name that dates back to the days of MS-DOS and is short for "CONsole". The idea is that any program could write to the screen or read from the keyboard simply by opening and acting on a file by the name of CON

Kwa ujumla nimeipenda post yako big up mkuu
 
Hahaa...ina maana kitufe cha like hujakiona??au unatumia mchina??haya bana
 
mkuu kama una maujanja yeyote ya kwenye Mac coz mi nina iBookG4 halaf ni mgen huku.

Mkuu mi natumia sana Linux version, kwenye Mac siko pouwa ingawa nilishawahi kutumia Leopard version...anyway kitengo cha mac labda kama mtu mwingine ana maujuzi atayamwaga, ila kwangu niko "Full empty bottle"
 
gud,i'm impressed kwa kweli,u'll mek a lot of geeks ukiendelea

Hilo neno(red) liko sahihi au umekosea??
geek: if u call someone, usually a man or boy, you are saying in an unkind way that they are stupid, awkward or weak.

Sijui ulikuwa na maana hiyo au lah...ujue maneno mengi siku hizi, nifafanulie kidogo
 
ubarikiwe nimeapply maujanja no 1 on how to make computer buust quickly imekubali mpendwa tunashukuru kwa kutokuwa mchoyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom