Njia rahisi ya kupata free to air DSTV decoder pasipo kulipia

Njia rahisi ya kupata free to air DSTV decoder pasipo kulipia

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,700
Reaction score
14,639
hili nimeuliza mara kadhaa kwa lengo pia la kusaidiana wote. mfano nina dish la dstv lakini sina pesa ya kulipia hata ile bundle yao ya bei ya chini kabisa kutokana na ukata. je haman namna ya kuweza kuangalia zile channel zao za free to air?
natakiwa nifanye nini? wajuzi tusaidianen tafadhari.
 
Back
Top Bottom