Jinsi ya kudownload online video na music bila kutumia software yoyote ile!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kudownload online video na music bila kutumia software yoyote ile!!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by SHAROBALO, Jun 24, 2011.

 1. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Habari wakuu!!

  Sijakosea kichwa cha TOPIC. ni kweli kabisa....

  Si kila computer unayokaa tu anaazatu kuinstall masoftware...tena micomputer mingine hadi uwe Administrator ahaaa

  hasa wengine mfano mdada fulani utasikia tumia ila usiniwekee mivirusi.....ahaa

  halafu utakuta huwezi weka software na computer ina speed ya kufa mtu....inakuwaje sasa hapa. idm yenyewe hadi nianze kudownload duh!!

  ok here is wat u should do..(nitatolea mfano Internet explorer)

  HATUA:

  1) fungua web yenye mziki au video husika.

  2) Play wimbo au video unayo itaka,waweza angalia hadi mwisho..au uka pause na kuiacha iload hadi mwisho.

  3) Tayari....umeshadownload hiyo kitu......

  4) Jinsi ya kuipata sasa....

  5) Bonyeza tools -->> Internet options

  6) Sehemu ya browsing history Bonyeza setting -->Bonyeza view files(temporary files)

  7)Utaona mafile mengi mengi....ya sort kwa size....yale yenye size kubwa basi ndio nyimbo au video ulizo kuwa unaziangalia

  8) Ya copy na uyapaste sehemu nyingine kwanza ndio ujaribu kuyafungua. Rename mafile yako sababu hayatakuwa na majina kama kule kwenye web.

  THE SECRETY::

  Kila unapoperuzi mtandao mafile yote yanahifaziwa kwenye Temporary forder. na unapotazama na kusikiliza video basi moja kwa moja inaenda kule. Pia kama unaona njia ndefu basi SEARCH kwenye computer yako for TEMPORARY FOLDER!!!

  >>Usisahau kugonga THANKS kama umeikubali hii<<

  CHEERS
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sijaikubali bado mpaka nitest zali...ntajaribu kesho nione....Alafu unatakiwa u-play na program gani au hiyo haijalishi?!
   
 3. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Hehe lizy mamaaa haijarishi player si inategemea naa mtandao husika....we bonyeza play tu....wimbo ukiisha nenda kwenye tempo folder kachukue copy yako...easy like charm!! kesho uje na majibu
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145

  Mkuu Sharobalo, kusema "bila software" ni jambo la kufunika kikombe ili mwanaharam apite...!! Kwani hardware bila software ni sawa na mwanadamu bila damu mwilini. Ni kitu mfu! Hata usipodownload software na kutumia hiyo browser, in this case, Internet Explorer (IE), bado utakuwa unatumia software, na hapa ni hiyo browser plus operating system ndivyo vimetumika. Hivyo usemi "bila software yoyote ile" ni makosa kwa maoni yangu.

  Jambo jingine, ni vyema umetolea mfano kuwa browser inayotumika hapa ni IE. Maana kila browser ina tabia yake ya jinsi inavyo handle internet traffic. Maana location ya temporary folder au browser cache to be precise differ from one browser to another.

  Lakini pia ni vyema kujua kwamba music ama video mtandaoni vinakuwa streamed down to your browser kwa kutumia protocol mbalimbali. And for the case of IE, I think only music/video streamed using HTTP protocol can be cached (stored in temp folder). Kuna protocols nyingine kama RTMPE, RTSP, RTMP, MMS na nyinginezo ambazo haziwi cashed jumla jumla kama HTTP wakati zina play video au muziki.

  Steve Dii
   
 5. M

  Mzee wa Wasa Member

  #5
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Sounds fine from a procedural point of view. Shall try this and if successful a big thank you will follow!
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Basi abadilishe na kusema BILA ADDITIONAL software....asante kwa maelezo zaidi!
   
 7. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Hehe he..kazi kweli kweli. imbombo ingafu.. wakuu..

  nadhani haina haja ya kubadilisha heading sababu utafikaje kwenye hiyo youtube au online video au music bila kuwa na browser?....

  je inahitaji uinstall hiyo browser wakati unaangalia youtube.....nadhani ni kiswahili kigumu tu

  sometime namlaumu nyerere bora tungeongea ki english.

  sababu nimegundua kuwa naongea broken swahili kuliko broken English.
   
 8. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #8
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Hata kwa wale wanao fungua Facebook,
  fahamu kuwa picha zako zote ulizo zitazama wakati umefungua facebook. zote zote zipo kwenye hilo folder...
  just wonder watu wanapataga vipi picha za celebrity wa bongo......
  ni kuvizia tu alikaa computer gani kama ni internet cafe moja kwa moja unaingia na kuzichota zote.
  au hata kama mtu akikupa Laptop yake basi moja kwa moja kwenye tempo folder utaona alichofanya akiwa online..


  Ila kama ukitaka kuwa SAFE!!! usisahau ku clear history and temporary folder..... na Browser nyingi zina hii option.
   
 9. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Obfuscation!
   
 10. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  me nagonga tx kabla hata ya kutest
   
 11. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #11
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Jaribu kwanza mkuu!!! poa thank u t00
   
 12. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #12
  Jun 24, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,473
  Likes Received: 1,428
  Trophy Points: 280
  Hii ni nzuri sana, sasa na sisi tunaotumia Ubuntu with Mozilla Firefox tuende wapi ili tukaone hayo manyimbo na movies, ahsante
   
 13. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #13
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  mkuu....Download the Firefox cache viewer plug-in. It displays all the files in your cache, and gives you options to save them (pictures, video, etc.) to disk if you want.

  au fungua

  C:\Documents and Settings\[User Name]\Application Data\Mozilla\Firefox\Profiles\ and the rest should be obvious.

  au search for firefox nenda profile na utafute cache folder.

  ila mkuu kwa fire fox mh..inakuwa tabu kidogo but kama uliangalia hiyo media basi fahamu kuwa umesha idownload ipo kwenye cache folder japo haitakuwa na extension kama mp3 or flv etc...so itakubidi uangalie ipi kubwa au ina size kubwa kuliko lingine na ulipe extension name.  goodluck
   
 14. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  depends on the web. Sio web zote zinaacha files kwenye cache!
   
 15. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #15
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Toa uthibitisho au mfano wa hiyo web mkuu ambayo haitaacha cache..
   
 16. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #16
  Jun 24, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  jaribu napster. ikiacha niambiee... zengine nshasahau.. used this trick [those days of porn, are they over?? mmm... ] before i got orbit grabber.
   
 17. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #17
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu, hata uki log off tu JF, cache automatically inakuwa cleared!!!

  Kama nilivyosema video au music ina tegemea sana na protocol inayotumika kuwa delivered kwa mtumiaji wa browser.

  Hebu tumia ujanja wako mkuu ku-bypass regional filter ya hii site ya amazon kama hauko US, kisha ujaribishe trailer mojawapo ya video on demand:

  Link hii hapa: Amazon.com: The Hangover: Bradley Cooper, Ed Helms, Zach Galifianakis, Heather Graham: Instant Video

  Kama unaweza pia, jaribisha streams za BBC na SkySports za kule Uingereza kama zinakuwa pre-fetched na kuachwa kwenye cache/temp folder baada ya kumaliza ku-play...
   
 18. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #18
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Saharobaro

  article zako nyingi nzuri na zinajitosheleza huna haja ya kuomba thanks . sisi "wamakonde" tunasema tenda wema nenda zako.............. Kwa kimombo "Do the needful and go" teh teh teh teh

  Mwishowe watu watakupa thanks za "kinafiki" Sababu unaziomba. Binafsi huwa sifagilii kuona article zako nzuri alfu unamalizia kwa kuomba hiyo kitu

  Cheers
   
 19. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #19
  Jun 25, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hebu iandike kwa kiingereza tuone kama itabadili maana.
   
 20. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #20
  Jun 25, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kama nilivyokupa wewe bila mwenyewe kuomba.
   
Loading...