Ifanye mozilla fire fox kuwa faster kama chrome

Shaffin Simbamwene

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2008
Posts
2,156
Reaction score
1,539
UPDATE
Wadau vitu vizuri ule na wenzio.
Katika pita pita zangu nimekutana na hii trick inayosaidia kuifanya Fire fox kuwa nyepesi hivyo si vibaya kushare na wengine.

Mchezo wenyewe upo hivi:-

1.Type about:config katika address bar kama inavyoonyesha screen shoot

mozll 1.jpg

then click ok

MOZLL2.jpg

2.shuka chini ya adress bar utaona search box na utype humo maneno haya pipelining (check screen shoot hapo chini)

mozll3.jpg

3.sasa Right-click katika maneno ya haya:-

i)network.http.pipelining na uset iwe true
ii)network.http.proxy.pipelining set iwe true
iii) network.http.pipelining.maxrequests hapa badili value iwe 100

4.Right-click popote pale alafu select new ----> interger kitatokea kiboksi ambacho utaingiza maneno haya nglayout.initialpaint.delay bonyeza OK alafu value weka 0 then bonyeza OK

mozll4.png

5.fanya kama namba 4 ila kwenye kiboksi utaingiza maneno haya content.notify.interval value weka 500000

6.Right-click tena alafu utaselect New -------> boolen kwenye kiboksi type content.notify.ontimer alafu chagua true

7.Rudia tena kama namba 4 ila kwenye kiboksi utatype content.switch.threshold value weka 250000

8.Hatua ya mwisho Right-click useleck new ---------> boolen kwenye kiboksi type content.interrupt.parsing alafu chagua false

Hadi hapo mambo yatakuwa fresh so Restart Browser yako uanze kutumia
 
mimi inanigomea naambiwa watumia wrong URL
Msaada pls au lazima uwe full IT
 
Mambo ya IT hayo after stage number 4 na five napata dialogue box inaonesha true or false
 
UPDATE
Wadau vitu vizuri ule na wenzio.
Katika pita pita zangu nimekutana na hii trick inayosaidia kuifanya Fire fox kuwa nyepesi hivyo si vibaya kushare na wengine.

Mchezo wenyewe upo hivi:-

1.Type about:config katika address bar kama inavyoonyesha screen shoot

View attachment 86364

then click ok

View attachment 86365

2.shuka chini ya adress bar utaona search box na utype humo maneno haya pipelining (check screen shoot hapo chini)

View attachment 86371

3.sasa Right-click katika maneno ya haya:-

i)network.http.pipelining na uset iwe true
ii)network.http.proxy.pipelining set iwe true
iii) network.http.pipelining.maxrequests hapa badili value iwe 100

4.Right-click popote pale alafu select new ----> interger kitatokea kiboksi ambacho utaingiza maneno haya nglayout.initialpaint.delay bonyeza OK alafu value weka 0 then bonyeza OK

View attachment 86370

5.fanya kama namba 4 ila kwenye kiboksi utaingiza maneno haya content.notify.interval value weka 500000

6.Right-click tena alafu utaselect New -------> boolen kwenye kiboksi type content.notify.ontimer alafu chagua true

7.Rudia tena kama namba 4 ila kwenye kiboksi utatype content.switch.threshold value weka 250000

8.Hatua ya mwisho Right-click useleck new ---------> boolen kwenye kiboksi type content.interrupt.parsing alafu chagua false

Hadi hapo mambo yatakuwa fresh so Restart Browser yako uanze kutumia

ngoja na mimi nijaribu mkubwa..
 
Naipenda sana ila sababu hasa ni kuwa inanifanya niweze kusoma site nyingi hata kama hazijaandikwa kwa kiingereza, tatizo ni kubwa sana nadhani haipunguwi mb 300 ikiwa updated mpaka toleo la mwisho, kumbe toleo la mwisho la mozira firefox ina ukubwa wa mb 44. Umeona tofauti?. Tumia zote utaona tofauti kila moja ina mazuri na mabaya yake, kwa upande wa security issues kwa mfano gc inaonekana kuzidiwa sana na mf.

LAKINI PIA Mozilla firefox kwa kawaida ni nyepesi ila watu wengi wanatumia tu internet siku hadi siku bila kuondoa browsing history zao, wanajaza toolbars na ad-ons kibao bila wao kujuwa wala kuzihitaji, hawasafishi pc zao, nk nk, mwisho wa siku lazima tu ita-load slow.

Tangu nianze kutumia google chrome browser nyingine nishazisahau kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom