Windows 8 Genuine 4ver Activation the right and not pirated way

e2themiza

e2themiza

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
975
Points
225
e2themiza

e2themiza

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
975 225
Niaje wakuu leo tutazungumzia hili swala, wengine wanaweza sema LOL! mbona nisha activate win8 yangu zamani kabisa.. well you thought wrong..

Kwanza ilitoka activator ya kwanza na I think ni jamaa from Korea(Correct me if am wrong) thanks to the leaked RTM version wakafanikiwa kuhack na kutegeneza a tool inayoweza kufuta na kureplace baadhi ya mafile ya windows 8 na kuonekana kuwa iko activated, wengi ndo wanaitumia hii tool coz RTM version ilikuwa build 9200 na final version ni the same build so imework na iyo pia..

Sasa weakness ya hii ilikuwa inaweza ku activate ndio(pirate activation) But ilishindwa ku unlock features za Personalization.. ambapo haupata izi access like kuchange account picture, account start menu, lock screen, e.t.c
Kuna tool nyingine jamaa wakategeneza ambayo ilikua inaweza ikachange izo vitu apo apo kwenye tool.. but the issue hapa ni kuweza ku activate GENUINELY and yes of course without spending a DIME :evil:

Pia at the same moment kulikuwa na activations process ambazo ni genuine kupitia KMS servers na hapo ukifanikiwa ku activate via KMS servers ndo umewin, sasa izi server zinakuwa kama bahati inategemea na time zones pia zikawa zinakuwa blocked so the only way ilikuwa kustick na pirate activation... sasa ikatoka activation nyingine ambapo ata mimi nilijua kuwa hii ndo yenyewe haswa coz ilikua ina unlock everything na personalization options pia na wengi kwa sasa ndo wameitumia hii.. BUT nayo pia ni pirate activation sio Genuine.. sasa how do I know this wakati ime unlock kila kitu na pia inaweza ika update kwa wengine ina kubali..

Well Microsoft waka make a BIG mistake/Wrong Move.. kwa kugawa free geniune product keys mpaka January ku update to Windows 8 Pro with Media Center.. BUT ata kama the key is free lazima uwe ume activate iyo windows 8 Pro yako Geniunely ndo utaweza ku upgrade to iyo Windows 8 Pro with Mediacenter ambapo hapo ni activated and geniune for life so lets begin.. maana ukichelewa now ikifika January 31 imekula kwako..

The Show OFF! :)

Ashampoo_Snap_2012.11.23_01h06m26s_001_Windows Activation.jpg

Ashampoo_Snap_2012.11.23_01h07m17s_002_View update history.jpg

Ashampoo_Snap_2012.11.23_01h08m28s_003_.jpg

Ok as you can see fully unlocked everything activated Windows 8 Pro with Media Center and the fully Updated.. NOT PAID a single dime..

First nenda hapa : Add features - Microsoft Windows

jaza ur email address then click send me the key.. sasa hapa you have to be patient maana it will take like 30 hours hivi ndo unatumiwa iyo key sio hapo hapo..

Ok now while you are waiting comes the hardest part and as you have got more than a day lazima utafanikiwa tu..

Sasa ni ku activate iyo Windows 8 Pro through KMS server.. na as I said hii wanajitahidi ku block sana sina uhakika sana but nadhani the trick ni kupatia the write time or time zone ya ku activate so nita attach two tools moja ilikubali mwanzo wakati na activate on my PC but jana kuna mtu nilikuwa naweka ikagoma iyo but later nikapata another tool which is just a simple .bat file na ikakubali but ni the same methods so nadhani ni issue ya muda anyways nita upload zote mbili first try out iliokubali jana then jaribu nyingine ikigoma zote nenda torrents nataufta activators ya windows 8 through KMS servers hapo utapata na instructions na matrick mbali mbali ya kuchakachua izo server na lazima utafanikiwa tu labda kama ni mvivu..

Ok the first .bat file what you need to do ni kuright click na run as admin.. oh and lazima uwe connected na net.. italeta prompts click ok na zisome ya mwisho ndo muhimu kama imesema imekuwa activated then CONGRATS but ikisema kuwa key/server is blocked jaribu file la pili ilo chakufanya ni ku extract then nenda kwenye .exe file vile vile right click then run as admin.. chagua server kati ya 3 ya edition yako na subiri uone kama itakubali.. zikigoma zote try muda mwingine au set your Time zone to +2 Cairo then rudia tena..

Ok ikishakubali hapo utakuwa fully geniunely activated but for 180 days to.. so subiri mpaka wakutumie ile product key and then..

Add Windows 8 Pro Pack or Windows 8 Media Center Pack to your edition of Windows • Swipe in from the right edge of the screen, and then tap Search.
  (If you're using a mouse, point to the upper-right corner of the screen, and then click Search.)
 • Enter add features in the search box, and then tap or click Settings .
 • Tap or click Add features to Windows 8 and then do one of the following:
  • If you need to purchase a product key, tap or click I want to buy a product key online.
   You will be prompted through the steps to buy a product key from there and it will be entered for you.
  • If you already have a product key, tap or click I already have a product key.
 • Enter your product key and click Next.
 • Read the license terms, select the check box to accept the license terms, and then click Add features.
If you were running Windows 8, your PC will restart automatically andWindows 8 Pro With Media Center will be on it.
If you were running Windows 8 Pro, your PC will restart automatically and Windows Media Center will be available for use.

Hapo utakuwa ume maliza kazi na hauta sumbuliwa kamwe kuwa sio geniune :)

Gudluck!

Attachments:

Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,787
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,787 2,000
mkuu link ya add features haifanyi kazi naletwa kwenye link ya internet explorer.

Au mpala niwe na ie9 au 10?

Thanx mkuu kwa tutorial ngoja naifanyia kazi
 
e2themiza

e2themiza

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
975
Points
225
e2themiza

e2themiza

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
975 225
mkuu link ya add features haifanyi kazi naletwa kwenye link ya internet explorer.

Au mpala niwe na ie9 au 10?

Thanx mkuu kwa tutorial ngoja naifanyia kazi
Wala mkuu sijui imekuaje ngoja nitoe hyperlink..

Code:
http://windows.microsoft.com/en-US/windows-8/feature-packs
 
J

junior05

Senior Member
Joined
May 3, 2011
Messages
189
Points
170
J

junior05

Senior Member
Joined May 3, 2011
189 170
Mkuu ngoja nichangie jambo,mie nina activator mbili za windows 8,ya kwanza inaweza goma personalization ukitumia ya pili inakubali kila kitu,kuanzia windows update hadi App store zote unafanya bila shida na very smooth, na kuhusu KMS nilidhani hyo ni for office 2013 activation hata hvo ipo better way ya kuactivate office 2013, if so wats the point ya kujaza hyo form..? Nauliza tu
 
Mtumpole

Mtumpole

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2010
Messages
1,532
Points
1,250
Mtumpole

Mtumpole

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2010
1,532 1,250
....na kuhusu KMS nilidhani hyo ni for office 2013 activation hata hvo ipo better way ya kuactivate office 2013,....
Mkuu junior05 ebu nisaidie kwenye kuactivate office 2013 kutumia KMS nadhani ni hii TDM Win8 KMS Activator, nini natakiwa nikifanye?
 
Last edited by a moderator:
Mathematician

Mathematician

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2009
Messages
326
Points
195
Mathematician

Mathematician

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2009
326 195
jizoesheni kununua genuine products. huo ni wizi mazee.
 
J

junior05

Senior Member
Joined
May 3, 2011
Messages
189
Points
170
J

junior05

Senior Member
Joined May 3, 2011
189 170
Mkuu kwa kutumia KMS zipo njia mbili na zote lazima uwe connected to internet, 1.unaanzia kwenye hyo terminal ya KMS kwa kuirun kama admin then ukishabadili time zone unaminimize screen na hapo unaweza kuanza kumount installation kwa kutumia iso au daemon tools..hii njia sio nzuri sana.

2.Njia ya pili na nzuri kwa KMS ni unaconnected PC kwenye internet, una mount installation kama kawaida on the installation process itafanya updates since you r online unamaliza installation na message yako ya product key needed for activation, achana na hyo message.

Baada ya hapo unaconnect KMS kama admin ikiconnect kwenye terminal scrow down just one command type "T" just wait itakuja a box with a message click ok then rudi kwenye bat file changua ni office ya bit ngapi i.e 32 or 64 just run as admin, fuata maelezo rahisi click any button to continue....now you are done with full MS Office 2013 activated features and any coming updates.

Pamoja.
 
e2themiza

e2themiza

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
975
Points
225
e2themiza

e2themiza

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
975 225
Mkuu ngoja nichangie jambo,mie nina activator mbili za windows 8,ya kwanza inaweza goma personalization ukitumia ya pili inakubali kila kitu,kuanzia windows update hadi App store zote unafanya bila shida na very smooth, na kuhusu KMS nilidhani hyo ni for office 2013 activation hata hvo ipo better way ya kuactivate office 2013, if so wats the point ya kujaza hyo form..? Nauliza tu
Kms activator ina activate for 180 days tu.. iyo form unakuwa activated permanently. Kms activation ipo both for office 2013 na windows 8 na zote hutumia njia zinazofanana ku activate.
 
e2themiza

e2themiza

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
975
Points
225
e2themiza

e2themiza

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
975 225
Mkuu kwa kutumia KMS zipo njia mbili na zote lazima uwe connected to internet, 1.unaanzia kwenye hyo terminal ya KMS kwa kuirun kama admin then ukishabadili time zone unaminimize screen na hapo unaweza kuanza kumount installation kwa kutumia iso au daemon tools..hii njia sio nzuri sana.

2.Njia ya pili na nzuri kwa KMS ni unaconnected PC kwenye internet, una mount installation kama kawaida on the installation process itafanya updates since you r online unamaliza installation na message yako ya product key needed for activation, achana na hyo message.

Baada ya hapo unaconnect KMS kama admin ikiconnect kwenye terminal scrow down just one command type "T" just wait itakuja a box with a message click ok then rudi kwenye bat file changua ni office ya bit ngapi i.e 32 or 64 just run as admin, fuata maelezo rahisi click any button to continue....now you are done with full MS Office 2013 activated features and any coming updates.

Pamoja.
Mkuu ingekuwa poa ugempaa link ya iyo Kms activator ya office na nadhani unazungumzia ile KMSmicro v3.10, vile vile iyo nao ni kucheza na timezone maana hivi hivi haikubali na ina activate for 180 days.. the better way ni phone activation.
 
Shaffin Simbamwene

Shaffin Simbamwene

Verified Member
Joined
Nov 16, 2008
Messages
1,387
Points
1,500
Shaffin Simbamwene

Shaffin Simbamwene

Verified Member
Joined Nov 16, 2008
1,387 1,500
Mkuu e2themiza kuna kasoftware kanapiga mzigo fresh so nadhani katawasaidia wadau!!

====================================================================
HOW TO DO IT THE EASY WAY
====================================================================
- Download and extract hiyo software niliyo attach na uirun as Administrator

-Hakikisha internet inakuwa on na ubadili time zone kwa kuweka zile za cairo
#1) Select version ya windows uliyointall
#2) Click insert the key then wait hadi ikwambie successfull
#3) Press Activate Windows 8.
Enjoy........... 

Attachments:

MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,069
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,069 2,000
sasa hii ya kwako uliyoweka hapo unatuhakikishia ni ya maisha Activate yake na sio Activate ya Pirate Mkuu.@e2themiza Hebu nifafanulie umeeleza kwa kirefu lakini bado sijaridhika na maelezo yako hapo juu jaribu rudia tena nipate kuelewa vizuri samahani kama nitakukwawiza.
 
Shaffin Simbamwene

Shaffin Simbamwene

Verified Member
Joined
Nov 16, 2008
Messages
1,387
Points
1,500
Shaffin Simbamwene

Shaffin Simbamwene

Verified Member
Joined Nov 16, 2008
1,387 1,500
Hapo ni baada ya kuupgrade win8 with wmc
WMC-0.jpg

WMC.jpg

WMC2.jpg
 
Stefano Mtangoo

Stefano Mtangoo

Verified Member
Joined
Oct 25, 2012
Messages
3,703
Points
2,000
Stefano Mtangoo

Stefano Mtangoo

Verified Member
Joined Oct 25, 2012
3,703 2,000
The right way not pirate way? What is pirating wapendwa?
 
e2themiza

e2themiza

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
975
Points
225
e2themiza

e2themiza

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
975 225
sasa hii ya kwako uliyoweka hapo unatuhakikishia ni ya maisha Activate yake na sio Activate ya Pirate Mkuu.@e2themiza Hebu nifafanulie umeeleza kwa kirefu lakini bado sijaridhika na maelezo yako hapo juu jaribu rudia tena nipate kuelewa vizuri samahani kama nitakukwawiza.
OK mkuu bila shaka, ni maisha activated cause in the end unatumia an original key from Microsoft, sana sana kama ukinunua an original CD ndani yake utakuta an original key. Au labda ungeniambia sehem gani haijaeleweka vizuri ni cover hapo..
 
e2themiza

e2themiza

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
975
Points
225
e2themiza

e2themiza

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
975 225
The right way not pirate way? What is pirating wapendwa?
NI kutumia software ya mtu bila ya kuilipia, some concept na movies.. kudownload na kuwatch bila ya kuilipia.. sasa hii njia hautailipia but utatumia a key provided by the maker. so inakuwa sio pirating tena.. na mbeleni hawezi kukushika
 
e2themiza

e2themiza

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
975
Points
225
e2themiza

e2themiza

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
975 225
Mkuu e2themiza kuna kasoftware kanapiga mzigo fresh so nadhani katawasaidia wadau!!

====================================================================
HOW TO DO IT THE EASY WAY
====================================================================
- Download and extract hiyo software niliyo attach na uirun as Administrator

-Hakikisha internet inakuwa on na ubadili time zone kwa kuweka zile za cairo
#1) Select version ya windows uliyointall
#2) Click insert the key then wait hadi ikwambie successfull
#3) Press Activate Windows 8.
Enjoy...........Yah ni kwl mkuu but the main thing ya hizi activation na kuhakikisha ur on the right timezone na pia izo server ziko online.
 
Shaffin Simbamwene

Shaffin Simbamwene

Verified Member
Joined
Nov 16, 2008
Messages
1,387
Points
1,500
Shaffin Simbamwene

Shaffin Simbamwene

Verified Member
Joined Nov 16, 2008
1,387 1,500
yah ni kwl mkuu but the main thing ya hizi activation na kuhakikisha ur on the right timezone na pia izo server ziko online.
mia mia
 
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,733
Points
2,000
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,733 2,000
nice lecture ila win8 sijui lini ntaitumia..
 
NingaR

NingaR

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2012
Messages
2,833
Points
1,225
NingaR

NingaR

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2012
2,833 1,225
Mkuu e2themiza kuna kasoftware kanapiga mzigo fresh so nadhani katawasaidia wadau!!

====================================================================
HOW TO DO IT THE EASY WAY
====================================================================
- Download and extract hiyo software niliyo attach na uirun as Administrator

-Hakikisha internet inakuwa on na ubadili time zone kwa kuweka zile za cairo
#1) Select version ya windows uliyointall
#2) Click insert the key then wait hadi ikwambie successfull
#3) Press Activate Windows 8.
Enjoy...........
mkuu Shaffin Simbamwene mambo yamekua mambo mkuu shukran za dhat maana nimehangaika mpaka basi,
Capture.PNG

hapo mkuu wamenipa upendeleo???

proo.png
kama inavyo onekana sina haja ya kusema zaidi
 
Last edited by a moderator:
Stefano Mtangoo

Stefano Mtangoo

Verified Member
Joined
Oct 25, 2012
Messages
3,703
Points
2,000
Stefano Mtangoo

Stefano Mtangoo

Verified Member
Joined Oct 25, 2012
3,703 2,000
NI kutumia software ya mtu bila ya kuilipia, some concept na movies.. kudownload na kuwatch bila ya kuilipia.. sasa hii njia hautailipia but utatumia a key provided by the maker. so inakuwa sio pirating tena.. na mbeleni hawezi kukushika
Mhh! kwangu inaonekana kama pirating tu na sababu ni kuwa unatumia funguo ya mtengenezaji isvyo ili kuepuka kulipia...kitu kile kile umeelezea ktk herufi nzito
 
Forum statistics

Threads 1,284,356
Members 494,038
Posts 30,822,629
Top