Jinsi ya kuhack administrator ukiwa kwenye guest account(for xp only)

IrDA

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
743
353
Wadau najua wengine mnafahamu haka kautundu, ila kwa faida ya wasiokajua.Naomba nielekezwe jinsi ya kulogon kwenye administrator account bila kuwa na password yake.Ni kama ifuatavyo
1.Fungua C:/windows/system32 ukiwa umelogon kwa kutumia guest account
2.Copy cmd.exe kisha ipaste kwenye desktop
3.Rename cmd.exe kwenda sethc.exe
4.Copy sethc.exe na ipaste kwenye system32 tena.(dialog box itakayotokea click YES)
5.Sasa logout
6.Ukishalogout itakuja page ya kuchagua account ya kulogin.Bonyeza SHIFT mara 5 mfululizo
7.Kitatokea kidialog box cha command prompt.Type (NET USER ADMINISTRATOR rcl) bila mabano
8.Itatokea THE COMMAND COMPLETED SUCCESFULLY.Exit command prompt na login kwenye administrator account kwa kutumia password (rcl) bila mabano

sasa mkuu huyo administrator hatagundua kuwa kuna mtu ana login kwa password yake?mmanake server ina record kila kitu!manake akijua utakua umejiwashia moto!
 
Nadhani hiyo ndefu sana.
1.Bonyeza 'Start'
2. Chagua 'Run'
3. Andika 'cmd'
4. Then itatokea dialog box nyeusi (ambayo ndio command prompt).
6. Andika 'net USER xxxx'. Kwenye USER andika jina la administrator account ( mara nyingi hii huwa inaitwa 'administrator' lakini kuna watu hubadilisha jina na kuipa majina yao).Kwenye xxx andika password unayoitaka.
7. Logout au restart.
8. Chagua administrator account halafu andika password uliyoichagua.
8. Umemaliza.ZINGATIA: Njia hii siyo nzuri kwa sababu itabidi ubadilishe password ya admininistrator. Hivyo kama akitaka kulogin password yake ikikataa atagundua kuna mtu kabadilisha and that's not a good hacking leaving traces behind. Njia nzuri ni Keylogging ambapo unaweza kupata password YOYOTE kama faceboook, twitter, myspace, jamiiforums (ndio hata JF), yahoo, gmail, ZOZOTE! Unachohitaji ni uwe na access na computer ya unayetaka password yake.
 
Do not do this on a system that you do not own, or have permission to modify. And messing with system files could leave your system in an unstable state, if you chose to continue, you do so at your own risk
 
Nadhani hiyo ndefu sana.
1.Bonyeza 'Start'
2. Chagua 'Run'
3. Andika 'cmd'
4. Then itatokea dialog box nyeusi (ambayo ndio command prompt).
6. Andika 'net USER xxxx'. Kwenye USER andika jina la administrator account ( mara nyingi hii huwa inaitwa 'administrator' lakini kuna watu hubadilisha jina na kuipa majina yao).Kwenye xxx andika password unayoitaka.
7. Logout au restart.
8. Chagua administrator account halafu andika password uliyoichagua.
8. Umemaliza.ZINGATIA: Njia hii siyo nzuri kwa sababu itabidi ubadilishe password ya admininistrator. Hivyo kama akitaka kulogin password yake ikikataa atagundua kuna mtu kabadilisha and that's not a good hacking leaving traces behind. Njia nzuri ni Keylogging ambapo unaweza kupata password YOYOTE kama faceboook, twitter, myspace, jamiiforums (ndio hata JF), yahoo, gmail, ZOZOTE! Unachohitaji ni uwe na access na computer ya unayetaka password yake.

Giffenality;
Kwenye "USER FAST SWITCHING " mode huwa hapana option ya ku-log in kwa jina la user " administrator". Assuming "administrator account" haijawa re-named, but rather reserved na mwenye machine huwa ana login by the username let's say makanyaga but with administrative rights, hapo itakuwaje? Kumbuka user "GUEST hana uwezo wa kubadilisha "USER FAST SWITCHING" mode
 
Wadau najua wengine mnafahamu haka kautundu, ila kwa faida ya wasiokajua.Naomba nielekezwe jinsi ya kulogon kwenye administrator account bila kuwa na password yake.Ni kama ifuatavyo
1.Fungua C:/windows/system32 ukiwa umelogon kwa kutumia guest account
2.Copy cmd.exe kisha ipaste kwenye desktop
3.Rename cmd.exe kwenda sethc.exe
4.Copy sethc.exe na ipaste kwenye system32 tena.(dialog box itakayotokea click YES)
5.Sasa logout
6.Ukishalogout itakuja page ya kuchagua account ya kulogin.Bonyeza SHIFT mara 5 mfululizo
7.Kitatokea kidialog box cha command prompt.Type (NET USER ADMINISTRATOR rcl) bila mabano
8.Itatokea THE COMMAND COMPLETED SUCCESFULLY.Exit command prompt na login kwenye administrator account kwa kutumia password (rcl) bila mabano

Wamakanyaga;
The original "sethc.exe" file cannot be over-written after clicking YES!
 
Giffenality;
Kwenye "USER FAST SWITCHING " mode huwa hapana option ya ku-log in kwa jina la user " administrator". Assuming "administrator account" haijawa re-named, but rather reserved na mwenye machine huwa ana login by the username let's say makanyaga but with administrative rights, hapo itakuwaje? Kumbuka user "GUEST hana uwezo wa kubadilisha "USER FAST SWITCHING" mode

i get your point. Ndio maana nikasema 'administrator account' nikimaanisha account yenye administrative rights. Besides, ukirestart utaona hiyo account, lets say makanyaga, right? Which means ukitaka kubadilisha unasema net Makanyaga 1234 ambapo 1234 ndio password mpya. Sikusema ufanye user fast switching. Nilisema u logoff au restart. Hii itakupa welcome screen yenye account zote. Ahsante.
 
je nikitaka kuhack Passwaord ya Invisobo nifanyeje?

Nenda kwenye sehemu ya kutuma ujumbe mfupi kwenye simu yako. Andika neno 'BAN' acha nafasi ikifuatiwa na jina 'Mzalendo80' kisha tuma kwenda namba 666. Utapokea ujumbe mfupi ukiwa na maelekezo.
Ili kujua umefanikiwa: Utaona jina lako kwenye JF limekatwa na mstari mzuri tu.
 
Admin wengi hawatumii user name ya administrator.
Any way, XP inatumika na wanafunzi zaidi. hata kwenye market sidhani kama bado ipo.
 
Nenda kwenye sehemu ya kutuma ujumbe mfupi kwenye simu yako. Andika neno 'BAN' acha nafasi ikifuatiwa na jina 'Mzalendo80' kisha tuma kwenda namba 666. Utapokea ujumbe mfupi ukiwa na maelekezo.
Ili kujua umefanikiwa: Utaona jina lako kwenye JF limekatwa na mstari mzuri tu.

Nimejaribu lakini haikubali, Je unaweza kunipatia Ip Address ya Invisibo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom