Msaada: Nawezaje kurudisha imei yangu ya zamani??

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,714
1,829
Habar zenu waheshimiwa samahan naomba mnisaidie jinsi ya kirudisha original imei ya simu yangu mara nyingi nimekuwa nikibadilisha badilisha kutokana na baadh ya vitu navofanya lakin nasahau kufanya backup sasa nataka nirestore original imei ili kukwepa panga la TCRA ifikapo june
 
Inaonekana sio mtu mzur wewe

Anyway unatumia simu gan
 
Hata siku moja huwez badilisha IMEI= INTERNATIONAL MOBILE EQUIPMENT IDENTITY, Hii inamaanisha kila simu huwa ina IMEI yake ambayo ni unique duniani sasa wewe unavyosema ubabadilisha ulikuwa unaweka ipi..?
Mm nahic labda unamaanisha laini ya simu..?
IMEI inatoka moja kwa moja kwa manufacture wa simu yako tuu, hakina mtu anayeweza badili isipokuwa kampuni husika only
 
Duh! Kweli TCRA walitakiwa kuzambaza elimu kwanza, kwa mtindo huu watu wataanza uziwa IMEI original ss hv,
 
Hata siku moja huwez badilisha IMEI= INTERNATIONAL MOBILE EQUIPMENT IDENTITY, Hii inamaanisha kila simu huwa ina IMEI yake ambayo ni unique duniani sasa wewe unavyosema ubabadilisha ulikuwa unaweka ipi..?
Mm nahic labda unamaanisha laini ya simu..?
IMEI inatoka moja kwa moja kwa manufacture wa simu yako tuu, hakina mtu anayeweza badili isipokuwa kampuni husika only
karibu android.

kwa android imei inabadilishika kabisa tena kwa simu za mediatek ndio rahisi kabisa
 
Kubadilisha au kucheza na IMEI namba ni kinyume cha sheria (sifahamu kwa Tanzania) na ni kosa la jinai, ni sawa na kubadilisha serial number ya gari yako.

Sifahamu ufafanuzi wa TCRA unasemaje juu ya hili.

Kuna sababu mbalimbali za kubadili IMEI zikiwemo kubadili tracking kwa simu iloibiwa, jina na mtengenezaji au model na hii ni ni simu ya wizi, kwa ajili ya utafiti na sababu zingine mbalimbali.

Usalama wa simu na IMEI umewekwa kwa asilimia 100 katika Chip yake na ni mtengenezaji wa simu au mfanyakazi wa huyo mtengenezaji ndie awezae kubadilisha programme nzima kwenye chip na IMEI.

Hii ya ubadilishaji wa IMEI haijakaa vizuri na ni wajibu wa TCRA kutoa elimu kwa umma juu ya hili.
 
Root simu yako kisha download app inaitwa mobile uncle; app ina option ya kuregister imei. Sitahusika na chochote ukiibrick cm yako kutokana na rooting. DONE
 
Root simu yako kisha download app inaitwa mobile uncle; app ina option ya kuregister imei. Sitahusika na chochote ukiibrick cm yako kutokana na rooting. DONE
Simu yangu iko rooted kitambo sana... Kwa hyo hiyo app itarudishaje original IMEI yangu?
 
Nenda google andika mobile uncle alafu ingia kwenye link ya kwanza tu ipo, shuka chini kabisa kuna link mbili za kuidownload chagua uitakayo.
 
Back
Top Bottom