Namna ya kutumia decoder ya DSTV ku boost antenna ya kawaida

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,651
14,318
Nimekuwa nikiwaza jambo hili kwa kina. Kutokana na kuwa na uwezo mdogo kiuchumi sometime watu wamekuwa wakiwaza namna gani ya kurahisisha maisha. na hapa nikapata wazo kwa kuwa najua humu ndani kuna watu wenye uzoefu na ujuzi mwingi hebu tafadhari tuweze kushirikishana hili wazo langu kitaalamu.
mfano nina dish la dstv au niseme decoder ya dstv je haiwezekani nikaitumia hiyo ili iweze ku boost antenna yangu ya kawaoda maarufu kwa jina la mwiba wa samaki? je hapa hamna namna ya kuweza kukamata zile channel za dstv za bure kupitia antenna hii? au ku boost angalau mwonekano wa channels zinazopatikana?
 
Back
Top Bottom