Communication Security: Telegram is better than WhatsApp

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
727
548
1.una weza set secret chat ambayo msg zinajifuta with in 9 sec
2. Una weza set password kitu ambacho whatsapp huwez
3. Can't be hacked mpaka sasa hivi hakuna mtu aliweza ku hack
3.una weza ku weka group chat up to 5000 members
 
Please mwenye kujua app ya kuhide icon app kwenye simu, maana password unaweza kulazimishwa kufungua.
 
1.una weza set secret chat ambayo msg zinajifuta with in 9 sec
2. Una weza set password kitu ambacho whatsapp huwez
3. Can't be hacked mpaka sasa hivi hakuna mtu aliweza ku hack
3.una weza ku weka group chat up to 5000 members

Ivyo ulivyovitaja ndo security features au service features za Telegram .?

Ni lini WhatsApp ilikuwa hacked referring to your 3rd judgment .
 
Pia atuambie zile chatbot zinazowekwa on telegram... How safe am i.
 
Back
Top Bottom