Msaada: Watssap imegoma

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
838
Wakuu habarini

Wiki iliyopita watssap yangu iliexpry
Nimejaribu kudownload kupitia playstore lakini imeishia njiani
Nikadawnload kupitia browser nyingine opera mini nikadownload watssap kupitia hapo
lakini cha ajabu nikibonyeza watssap inanandikia nidownload kuptia playstore wakati nimedownload muda huu jamani

Natumia LG
 
Yusomdownloost: 15689721 said:
wakuu habarini

wiki iliyopita watssap yangu iliexpry
nimejaribu kudownload kupitia playstore lakini imeishia njiani
nikadawnload kupitia browser nyingine opera mini nikadownload watssap kupitia hapo
lakini cha ajabu nikibonyeza watssap inanandikia nidownload kuptia playstore wakati nimedownload muda huu jamani
natumia LG
Nenda google download apk ya whtsp andika hivi " whatsapp.apk halafu idownload hiyo apk then ikimaliza utainstall hiyo nathan hapo utakuwa u,mesha solve hilo tatizo coz ni kweli huwa kunakuwa na changamoto ya baadhi ya cm kushindwa kufanya online upgrade,
 
mkuu nimefanya hvyo lakin imegoma
 
Attachments

  • software-bug_swahilitech.jpg
    software-bug_swahilitech.jpg
    12.8 KB · Views: 51
Nenda google download apk ya whtsp andika hivi " whatsapp.apk halafu idownload hiyo apk then ikimaliza utainstall hiyo nathan hapo utakuwa u,mesha solve hilo tatizo coz ni kweli huwa kunakuwa na changamoto ya baadhi ya cm kushindwa kufanya online upgrade,
Hio njia mueleze pia aruhusu non playstore apps install kule kwa settings
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom