NEW IPHONE IMETOKA

mwanaMtata

JF-Expert Member
Oct 18, 2014
2,393
1,433
<iframe width="560" height="315" src="" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>


Inaitwa iphone se. Wenyewe wanasema big change for small. nimeipenda sana hii kwani sim ni ndogo usawa wa iphone 5s ila mapigo na action zake ni kama za latest iphone 6s ila kasoro few features kama 3D touch. Hii nimeipenda kwa sababu kuna watu wanapenda iphone kwa sababu ni ndogo ila hawainjoy kamera kwa sababu ya kua na 8MP pekee sasa inakuja na 12MP na A9 cheap asee hatariii.
 
Back
Top Bottom