MSAADA: Nahitaji njia yaku bypasss Iphone 4s activation

mbugabire

JF-Expert Member
Nov 15, 2012
261
87
wakuu, heri ya pasaka.
nilinunua simu aina ya Iphone 4s ila siku delete icloud account iliyokuwepo, nimerestore simu sasa inahitaji apple ID na password. Tatizo simu ni second hand na aliyeniuzia pia hakumbuki taarifa za hiyo simu
 
aah hiyo babu imela kwako..andaa tu mpunga wa maana uwatumie wazungu waifyatue ama nunua ingine
 
I do bypass them but nina application . Ambayo na hitaji niwe na simu physical niconnect na pc , na sijui uko wapi wewe but niko china . So sitoweza kukusaidia but kama uko Tanzania pia kuna watu but itakucost sana nahisi koz kwa huku watu huchaji yuan 800 ambayo ni dola 130 fulani , ni bei ya kubypass each icloud account haijalishi unatumia device gani na ya muda gani. Wether una iphone 6s , macbook , ipad , iphone 3g bei ni moja ... Its an expensive crackin bypass since u r treated like a thief not the authorised owner :: nahisi umenipata : msaada upo bongo na pia utakuwa wa gharama :: ongea na fundi simu au watu wa mitaa sana
 
asante mkuu kwa ushauri wako, nitazunguka mjini nijaribu kuuliza wataalam
 
I do bypass them but nina application . Ambayo na hitaji niwe na simu physical niconnect na pc , na sijui uko wapi wewe but niko china . So sitoweza kukusaidia but kama uko Tanzania pia kuna watu but itakucost sana nahisi koz kwa huku watu huchaji yuan 800 ambayo ni dola 130 fulani , ni bei ya kubypass each icloud account haijalishi unatumia device gani na ya muda gani. Wether una iphone 6s , macbook , ipad , iphone 3g bei ni moja ... Its an expensive crackin bypass since u r treated like a thief not the authorised owner :: nahisi umenipata : msaada upo bongo na pia utakuwa wa gharama :: ongea na fundi simu au watu wa mitaa sana
HUO NI UONGO MKUBWA.
 
Ukivuta bange usiingie jamii forums
 
Jaman!! Msaada nina iphone 4 tatizo lake kama mwezi sasa inacheza cheza katika AP zake au hata katika sms au phonbook yake. Plz
 
Sasa kama huna apple ID ujue umeliwa hapo kiongozi. . FBI wenyewe wanambwela mbwela kufungua i phone moja huko USA.. Sembuse hawa wabongo...
 
Back
Top Bottom