Ipi bora: Tecno C8 vs Blue studio energy 2

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,306
Jamani hizi ni aina ya simu makapuni mawili tofauti, kwa anaezifahamu simu gani bora zaidi

katika yafuatayo

>uimara wa simu katika matengenezo
>ubora wa camera
>storage ya simu
>ukaaji wa chaji
>ubora wa kasi wa internet
>mwonekano mzuri

wataalamu karibuni

cc: Chief-Mkwawa na wengine
 
Hakuna hata yenye afadhali hapo..sikushauri yoyote
Budget yako ikoje utajiwe simu
 
Techno C8 ina hizo sifa zote lakini ina matatizo yake mengine, kuna wakati inakuwa slow kwenye kurespond pia ukitaka kutuma msg inakuletea namba ya mwisho kutumia na sio namba unayoitaka usipokuwa makini unaweza kupata kesi hasa kama una michepuko
So mkuu mshana jr unanishauri nichukue C8? vipi hii blu studio energy 2 umejaribu kuicheki sifa zake??
 
Techno C8 ina hizo sifa zote lakini ina matatizo yake mengine, kuna wakati inakuwa slow kwenye kurespond pia ukitaka kutuma msg inakuletea namba ya mwisho kutumia na sio namba unayoitaka usipokuwa makini unaweza kupata kesi hasa kama una michepuko
Kwani nyie mmechukua model no.ngp Za c8 Coz me c8 yangu haijawah kua na matatizo uliyoyataja HPO juu na nimejaza app kubwakubwa km asphalt8,front line commando,n.k.....achilia mbali movies,music.n.k
 
Techno C8 ina hizo sifa zote lakini ina matatizo yake mengine, kuna wakati inakuwa slow kwenye kurespond pia ukitaka kutuma msg inakuletea namba ya mwisho kutumia na sio namba unayoitaka usipokuwa makini unaweza kupata kesi hasa kama una michepuko

Hahahahahha
 
Techno again? Wenye kumiliki techno sijui Kwanini wanafutaga nembo ya techno kwenye simu zao
 
kcamp bajeti yangu 300 mkuu, mbona watu wanazisifu sana kuwa ziko poa??
Mkuu usije kununua tecno yoyote

Jipinde ongeza 50 hapo utapata lg g2 zipo kwa 350 nyingi tu hata humu ndan kuna jamaa anauza kwa 360 tu..g2 ni flagship huez fananisha na hizo simu za kichina.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom