psp ni nzuri kwa watoto zinakaa na chaji kama masaa 6 hivi ya matumizi mfululizo na pia upatikanaji wa games zake ni rahisi. ni ngumu kuharibika hasa kama wanatupa tupa na pia ni certified kwa watoto hawatapata mambo machafu kwenye psp.
bei around laki 2.
pia naona kuna zile computer za watoto za olpc (one laptop per child) zinauzwa used 150,000 unaweza zicheki ila hizi hazina enterteinment sana ila ni nzuri kwa kujifunzia
option nyengine ni tablets na simu au ipod sema hizi inabidi uwe makini sana ni nzuri zina app nyingi za mafunzo lakini pia mtoto akiwa mjanja kidogo anaweza fanya vitu ambavyo vipo nje ya umri wake.
hizi tablet zinaanzia around 300,000 hivi zenye rubber case na store za watoto.
cheki kaymu/jf matangazo/jumia/kupatana watu wanauziuza nikipata muda nitakuekea na links
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.