Software for video production

Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,280
3,345
kwa yeyote anayejua free software for video production jamani plz anisaidie nina shida nayo (anitajie jina maaan naona nyingi ni za kununua )thanx
 
Ulead video studio,sony vegas,adobe AE, zote ninazo.

Naamini jukwaa hili la tech. ipo siku moja litajakuwa kijiwe kama vijiwe vingine vya wahuni. Mwanzo hapa hapakuwa sehemu ya kutangazia biashara zetu, lakini siku hizi watu kutangaza biashara zao hapa imekuwa kawaida, na mods ni kama wako likizo kiaina.

Mkuu kama unazo hizo software na huwezi kuweka links au ku upload hapa, si ungemPM tu jamaa mfanye hiyo biashara yenu huko huko nyuma ya pazia?

Inakufaa tu kuandika maandishi ya kupinduka kichwa chini, miguu juu tu, lakini sio kwa kusaidia GTs.
 
kama upo advanced tumia adobe primiere link alokupa x-paster ila kama still ni begginer katika video production tumia spin pinnacle video maker, zote zina trial version ya mwezi unaweza jaribu ukipenda ndo uanze fanya mpango wa crack
 
Naamini jukwaa hili la tech. ipo siku moja litajakuwa kijiwe kama vijiwe vingine vya wahuni. Mwanzo hapa hapakuwa sehemu ya kutangazia biashara zetu, lakini siku hizi watu kutangaza biashara zao hapa imekuwa kawaida, na mods ni kama wako likizo kiaina.

Mkuu kama unazo hizo software na huwezi kuweka links au ku upload hapa, si ungemPM tu jamaa mfanye hiyo biashara yenu huko huko nyuma ya pazia?

Inakufaa tu kuandika maandishi ya kupinduka kichwa chini, miguu juu tu, lakini sio kwa kusaidia GTs.

sasa hapo tatizo ni nini? na nani kasema naziuza? acha zako bana.mtu kauliza software za video editing nimetajia na pia ninazo kama anataka si atajua yeye tutakutana vp!! sasa kama adobe AE ina gb 3.7 niki upload hapa si nitakuwa maskini gafla
 
Umesema kweli.
Hapa mtandaoni nimesaidiana na watu wengi sana tena wengine wamenipostia na wengine nimewapostia cd/dvd bure. Muhimu ni mawasiliano.
 
nenda thepiratebay utapata video editing software kibao za bure! mie natumia Final Cut Pro X! ni Super!
 
unataka kwa ajili ya editing ya video za aina gani? Nyimbo au movie? Mi ninayo adobe premiere, sony vegas pro, pinacle, corel studio, power director, magix movie pro, u lead, adobe after effects tuwasiliane nikutumie
 
Back
Top Bottom