Msaasda kwa hili jamani

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,220
1,225
habari za pasaka wanajamii forum
nilikuwa naombeni msaada wenu kwa wale wanaofahamu program yoyote ya computer ili niweze kubadilisha picha zang kutoka INVALIDI IMAGE KUWA PICHA ZA KAWAIDA maana memory card ya kamera yangu inafanya picha ziwe invalidi sasa kuna picha nazipenda sitaki zipotee sasa nataka program ya kuzibadilisha invalid picures
 
Hamna program ya kubadili invalid pictures kuwa valid pictures..( Picha za kawaida)
Another thing ni kwamba angalia hiyo SD CARD YAKO KAMA NI Nzima au ina virus
 
Back
Top Bottom