shemaghotwe
Member
- Apr 14, 2014
- 93
- 67
Wadau nimebahatika kusoma short course ya winserver 2003 kama miaka 3 iliyopita,sasa kutokana na nature ya kazi yangu sikuwahi kupata wasaa wa kwenda field au mazoezi yoyote ya jinsi ya kutumia.Kwa sasa nipo hom tu nahitaji nipate mazoezi ili kuongeza ufanisi juu ya program hiyo.Naomba yeyote anaeweza kunisaidia kuipata
Natanguliza shukran za dhati
nipo dsm
Natanguliza shukran za dhati
nipo dsm