Nijuzeni.. Ipi nzuriii.. OS. NI Android wakuu
Elezea jinsi unavyofanikisha call blocking ukiea lollipop/ marshmallow?Android lollipop and marshmallow pia ina block calls and text bila kuitumia app yoyote
Nafikiri inategemea na simu ya mtumiajiAndroid lollipop and marshmallow pia ina block calls and text bila kuitumia app yoyote
Settings/PrivacyElezea jinsi unavyofanikisha call blocking ukiea lollipop/ marshmallow?
Sasa mkuu hiyo sehem ni ku block unknown namba it means kama namba hukuisave inakuwa blocked au mm ndio si elewi.
thats just an additional call blocking feature.Sasa mkuu hiyo sehem ni ku block unknown namba it means kama namba hukuisave inakuwa blocked au mm ndio si elewi.