Jinsi ya ku unlock vodafone mobile broadband

Kwan hapa ni jukwaa gan wazee mbona munanichanganya
pengine anamaanisha thread, zipo thread za ku unlock simu/modem ukienda huko utasaidiwa na pia kuna taarifa muhimu unatakiwa uzieke kama vile ukieka line ya mtandao mwengine unapata taarifa gani?
 
jaribu kutumia dc unlocker mpya kama huna chukua hapa AU iliyo crack

DC-Unlocker cracked
Download DC-unlocker software. Unlock supported phones and modems
IFUNGUE kisha fanya yafuatayo
DC2.JPG

ikisha maliza kudetect nenda sehemu iliyo andikwa unlocking
DC5.JPG

ikishamaliza utaona hapo chini
SIM lock status UNLOCKED
 
pengine anamaanisha thread, zipo thread za ku unlock simu/modem ukienda huko utasaidiwa na pia kuna taarifa muhimu unatakiwa uzieke kama vile ukieka line ya mtandao mwengine unapata taarifa gani?
hello, nina simu aina ya LG ya lain moja. Shida nikiweka laini inaniambia 'out of service area' unaweza kunisaidia?
 
Imetoka marekani, nimejaribu zote bado inaniambia out of area
cha muhimu hapo ujue huko marekani ilikuwa inatumika mtandao gani, maarufu zaidi ni AT&T, Verizon, sprint na T-mobile. ukishaujua then Google Namna ya ku unlock au peleka kwa wanao unlock watakupa gharama zake.
 
ilikua inatumia sprint. Naanzaje mkuu?
 
Back
Top Bottom