MOSintel Inc
JF-Expert Member
- Mar 24, 2016
- 817
- 589
Jamani naomba kuuliza hivi hizo plugin kama vdtube25 nazi download vipi Naombeni msaada...
#Chief mkwawa
#mwl.RCT
#Chief mkwawa
#mwl.RCT
Nazungumzia ile ya KODI au nimekoseani vdtube25 au vdubt25?
umekosea ni vdubt25.Nazungumzia ile ya KODI au nimekosea
#Pepe17So haihitaji kudownload any file hilo la vdubt25
#Pepe17[/QUOTE
umesoma na kufuata hiyo link? kila kitu kiko wazi hapo kaka.