amsr
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 259
- 303
Niko na lg g2 ina tatizo ambalo hutokea mara mojamoja yan hujibonyeza wenyewe frequently na hili tatizo likitokea hukaa kwa masaa kadhaa then huacha likiacha simu hua fresh mpaka litakapokuja tokea tena labda mara moja kwa wiki au maramoja kwa siku tatu..hili tatizo huweza kusababishwa na nini wakuu?