Hapo ni kurestore efs tuNote2 n7100 null/null imei unknown baseband. Msaada kwa anaemfaham fund
Hebu nipe maujanja kdg. Inahutaj box au bila box na natumia soft zipi mkuu?Hapo ni kurestore efs tu
Sio lazma box japo kama unalo poa tuHebu nipe maujanja kdg. Inahutaj box au bila box na natumia soft zipi mkuu?
Nikifungua odin AP Napata md5 error. Binary is invalid.Tar utayopata baada ya kubackup efs
Umewah ku restore?Inajirestart kila mda... ila nikiizima nkichajia betri inatulia.... nkiiwasha tuu inajirestart haitulii
Download hii firmware hapaNdio... na kila nikirestore bado tatizo haliishi